Recent content by generationn Z

  1. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Ni mchallange vipi huyu mtoto maana akili yake imevuka mipaka ya elimu na hataki shule

    Me nikimpata huyo mbna shwari Kwanza Nikwambie tu huyo ndo mtoto sasa... chakufanya nenda kawaonge walimu pesa ili wamruhusu awe anasoma siku 3 kwa wiki zile mbili mtafutie fani yeyote unayoona itamsaidia hata km ni uko veta we peleka ili kichwa kuanze kula vitu vikubwa na venye maana ...
  2. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    Au ndo maan umeme unakatwa sana
  3. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Niripoti nani na wapi kwa hili ili iwe funzo kwa watoto wote.

    Haukupata nafasi ya kuchukua picha kabla ya kwenda kunywa ili nas tuone tupime uzito wa tatizo
  4. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

    Mbna hata sisi tunaongea san habari za nje wakat weng wetu hata kenya au uganda hatujawahi fika
  5. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wote, hili linatuhusu kwenye malezi!.

    Hizo nyakat huwa ni ngumu sana hasa kwa mwanaume
  6. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Sasa kidume unakuwa shoga, nyama kama hii ale nani?

    😂😂😂😂naunga mkono aache utani
  7. generationn Z

    JamiiForums Tanzania Wachina na teknolojia wanazidi kutupa wakati mgumu sana kwenye teknolojia

    Kiufupi technology ni habari nyingne ni km inataka kumnyang'anya mwanadamu kile alichoamin bila yeye hakun kitakacho fanyika... tech inaanza kuiba maufund ya binadamu taratibu japo si kwa ubaya
  8. generationn Z

    JamiiForums Tanzania KERO Nimesafiri toka Mwanza-Musoma kiukweli barabara zetu bado ni changamoto

    Sio siri hii ni aibu kubwa
Back
Top Bottom