Recent content by Geneous99

  1. G

    Nini kilisababisha Katiba Mpya isipitishwe 2014?

    kwangu mimi inaniuma
  2. G

    Nini kilisababisha Katiba Mpya isipitishwe 2014?

    Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa. 1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane? 2. Nini kilisababisha katiba mpya isipatikane? 3. Hasara gani tumezipata kama taifa baada ya kupoteza nafasi ile ya kupata...
  3. G

    Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    Russi, mwenyewe anasema Israel yuko sahihi kujilinda , japo ameiweka kimkakati kwa kusema wasizidishe dozi na kuua raia wasio na hatia
  4. G

    Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    so unaamini itakuja nusura hivi karibuni?
  5. G

    Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

    Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India. Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile...
  6. G

    MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    jobless kwa hyo carrier, so nikaangalia kwa upande wa pili ambao Niko competent
  7. G

    MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    Only 3 months for the fast Learners and 6 months for slow learners, and to a year for beginners and children
  8. G

    MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    Thank you so much, allways stand to be corrected 🙂
  9. G

    MWALIMU WA KIINGEREZA(GRAMMAR AND TENSES) KWA WATOTO NA WATU WAZIMA PIA DODOM

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama nafuu( 150000-300000) kwa mwezi. Yeyote aliye maeneo ya Dodoma anaweza kunitafuta kwa kunipigia simu...
  10. G

    SoC01 Tatizo siyo vijana kujiajri

    ahsante bro kwa kutambua mchango wangu
  11. G

    Ishi ndoto yako

    Toka miaka ya tisini na pengine miaka ya ya sitini mpaka themanini, ahadi zilikuwa nyingi Sana, ndoto kwa vijana zikawa nyingi Sana, watu wakawa na matarajio makubwa, na pengine wakatamani wayaishi matarajio hayo na ndoto zao. Walitamani maisha mazuri, maisha ya amani, lakini sio amani tu, amani...
  12. G

    SoC01 Tatizo siyo vijana kujiajri

    UTANGULIZI Vijana wengi zaidi ya laki moja toka mwaka 2015 wamemaliza vyuo vikuu na vyuo vya Kati ngazi ya shahada, stashahada na astashahada katika fani tofauti tofauti ikiwemo ualimu, ( wa sayansi na Sanaa), utawala wa umma na sayansi ya siasa, utalii, geografia na mazingira, udaktari...
  13. G

    Ishi ndoto yako

    Ahsante sana mkuu
  14. G

    Ishi ndoto yako

    Toka miaka ya tisini na pengine miaka ya ya sitini mpaka themanini, ahadi zilikuwa nyingi sana, ndoto kwa vijana zikawa nyingi Sana, watu wakawa na matarajio makubwa, na pengine wakatamani wayaishi matarajio hayo na ndoto zao. Walitamani maisha mazuri, maisha ya amani, lakini sio amani tu...
Back
Top Bottom