Recent content by Genekai

  1. Genekai

    JamiiForums Tanzania Nataka kuukana uraia wa Tanzania kuchukua wa Norway, ni madhara yapi ntayapata?

    Kwa hali ilivyo, we ukane tu wa tz. Norway nadhani km si nchi ya kwanza basi ni ya pili kwa kiwa na raia wenye furaha duniani. Wakati Tz ni nchi ya tatu kutoka mwisho!!!!!
  2. Genekai

    JamiiForums Tanzania MOSHI : Polisi Line wanaishi gizani kwa kukosa umeme mwezi mzima sasa kwa deni la 1 Bilion

    Hawa jamaa miaka yote hawalipi bill ya umeme..... Wanalo!!!!
  3. Genekai

    JamiiForums Tanzania Rungu la mabadiliko laja kufyeka Majimbo ya Uchaguzi 84 na nafasi za Viti Maalum 44: Serikali kuokoa Tsh. 122,000,000,000.

    Sidhani kama muswada huo utapita mjengoni!!
  4. Genekai

    JamiiForums Tanzania WAKATOLIKI: Je, unamuamini vipi padri unayekwenda kuungama/kutubu dhambi mbele yake?

    Mambo mengine hasa ya imani huhitaji kuhoji.... Ukitaka nenda usipotaka acha..... Wala usimlaumu anayekwenda!!!!
  5. Genekai

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watu wanaoendesha magari binafsi wanapenda kuwachungulia walio kwenye daladala?

    Hii thread imenifanya nicheke asubuhi mapema!!!
  6. Genekai

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kaniandikia barua nzito, adai nihame nyumbani nikajipangie maisha yangu

    Nilishasema, hili ni tatizo la elimu yetu, inamuandaa mtu kuajiriwa badala ya kinyume chake. Una BA bado unasubiri ajira, wakati mwingine huwa naona elimu ya la saba iko vizuri kwani waliojiajiri ni wengi. Dogo kakuchoka kaona akupe makavu. Tafuta namna ya kuhama bro!!!!
  7. Genekai

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali Lubinga ampa Nape Nnauye makavu live: Atuambie kama ana Ajenda ya Siri

    Huyu kwake vitani/ Porini, Siasa atashika bunduki tu!!!!
  8. Genekai

    JamiiForums Tanzania Ni Spika gani wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania ameitendea haki nafasi ya uspika?

    Labda Karijee........ Hawa wengine uchama tu!
  9. Genekai

    JamiiForums Tanzania Je, nyama ya nguruwe (mkuu wa meza) ni najisi?

    Ukimuonja K'moto na kuujua utamu wake, huwezi kumuita haramu!!!
  10. Genekai

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Dr.Bashiru ni wakili msomi Fatma a.k.a Shangazi

    Hawa wanasiasa ni wa kuonea huruma tu!!!
  11. Genekai

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?!

    Simpo tu.... Wekeni tume huru ya uchaguzi na mkuu wa Polisi wa wilaya asiamrishwe na mwenyekiti wa MCC wa wilaya then tuone itakuwaje!!!!!
  12. Genekai

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya viwanda: Viwanda vya saruji vimegoma malighafi ya Tanzania ni ghali kuliko kuagiza nje, na Serikali haitaki waagize nje

    Well, ni nchi ya tatu duniani kwa kuwa na raia wasio na furaha!!!!!
  13. Genekai

    JamiiForums Tanzania MARA: Kangi Lugola ametoa wiki moja kwa Polisi kuwakamata wanafunzi watoro na wazazi wao

    Hiyo nayo ni kazi ya Polisi? Nowonder haya maagizo yanapuuzwa
Back
Top Bottom