Recent content by GENE THERAPY

  1. G

    Mume wangu hataki msamaha wangu

    Mpe muda, Kama ni mtu wa kutafakari Mambo atajirudi na maisha yataendelea. Hizo ni changamoto tu za mahusiano. Usilazimishe Sana msamaha kwa sasa, Jipeni muda.
  2. G

    Kwa wale wapenzi wa soka tu, pitia hapa (inaweza ikakusaidia)

    Kwa kutumia Simu ya mkononi ni App gani nzuri kuangalia football live wakuu. Msaada tafadhali
  3. G

    Tuulize chochote kuhusu mbao na changamoto zake

    Kwa wataalam naomba mnisaidie, Mbao za mti wa muembe(mango tree) zinafaa kuezekea au kutengeneza fremu?
  4. G

    Chunga sana rafiki yako akipata nafasi atatembea na shemeji yake

    Kulikuwa na marafiki wawili wa tangu utotoni, mmoja akanipenda sana Ila kama ilivyo kawaida ya mabinti akaona aibu kuniambia, ikabidi amhadithie huyo rafiki yake ili ujumbe unifikie, aliyetumwa akaanza kujenga mazoea na Mimi na badala ya kufikisha hisia za mwenzake kwangu akajiweka na...
  5. G

    Nimeshindwa kumuelewa mke wangu, yaani ni kosa kutokutwa na meseji za kucheat?

    Yeye pia ni mzoefu, kajuaje mbinu zote hizo. Nawaza tu.
  6. G

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Kumbe ndio maana J Zuma kipindi kile alishindwa kujizuia kwa ile Pisi, ikabidi tu apige halafu akimbilie bafuni fasta 😂
  7. G

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    Khumbu ajengewe tu sanamu pale daraja la Ubungo, maana dahhh
  8. G

    Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

    Kama Bado huna mchumba, usiharakishe. Ukiamua kuoa, Oa mwanamke anaekupenda, sio unaempenda wewe, akikuheshimu na kukujali utamthamini tu. Dhumuni la ndoa ni kukamilishana katika madhaifu yetu,maana hakuna aliekamilika, ukiona ndoa imedumu ujue kuna mmoja kajifanya fala kumlindia mwenzake...
  9. G

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Hongera Sana mzee wangu, na asante kwa kutushirikisha simulizi hii ya kusisimua na kuelimisha . Kuna tofauti nyingi Sana nimeziona kati ya sisi vijana wa kisasa na vijana wa zamani, mfano. 1. Yawezekana wengi tumeoana na watu ambao hatukutarajia sababu ya kukata au kukatishwa tamaa na...
  10. G

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Nimehuzunika Sana ila pia Nimefurahi. Yote ni mipango ya Mungu.
  11. G

    Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Mkuu samahani, kwenye ule mkoba aliokua amekujanao Hamida Siku ya mwisho kabla hajaenda Oman akakuachia, alikua amekuwekea nini.
  12. G

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu, Maabara wanasema damu imezidi

    Pole Sana ndugu. Nakushauri nenda hospitali yenye madaktari bingwa na uombe kuonana na Neurologist, atakufanyia uchunguzi na kukupa ushauri mzuri zaidi. Swala la wingi wa damu kwa uelewa wangu sidhani kama linaweza kukusababishia shida zote hizo, maabara za kawaida huwezi kupata suluhisho...
  13. G

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    Pole Sana mkuu, usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi, hayo naamini ni mapito tu. Ombea ndoa yako Sana. dahh Jamaa sijui kapatwa na nini, wanaume wengine tunatamani wake zetu wangekua kila Siku wanatuambia wana ham na sisi na wanatuhitaji.
  14. G

    Alinijibu hivi baada ya kushindwa kumtumia pesa. Naomba ushauri wenu wakuu

    Kama hiyo kauli bado inakusumbua, yawezekana ni muda muafaka wa kutafakari upya mahusiano Yetu na kumuomba Mungu akuongoze kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka wakati nipo chuo kikuu ulitokea mgomo wa wanafunzi wa baadhi ya vyuo, tukasimamishwa masomo. Niliporudi nyumbani Baba yangu alikua...
  15. G

    Sijawahi kuona mama mkwe akipatana na mke wa mwanae hata siku moja.

    Ni mtazamo tu. Ukitaka wapendane usikubali waishi nyumba moja, au Jirani Sana ili kuepuka baadhi ya mikwaruzano. Wakiishi pamoja hata Kama kulikua na Upendo kidogo kuna uwezekano ukapungua au kuisha. Inategemea pia tabia za asili za mke au za Mama Mkwe. Binafsi mke wangu na Mama yangu...
Back
Top Bottom