Recent content by Gemini6

  1. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Kipi kianze, kushikana mikono ndipo msameheane au msameheane ndipo mshikane mikono.

    Nitazishangaa media za Tz kama watasalim amri kwa igizo la jana
  2. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Hivi Watengenezaji Wa Haya Mabodi Ya Mabasi Wameshindwa Kabisa Kufikiria Kuyawekea Nguzo?

    Ipi bora,kumbuka wahenga wa kizungu walisema shortcut makes life shorter
  3. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Geita: CHADEMA Wavuna Wanachama 60 Wa CCM, Wengi Wajihusisha na Tundu Lissu

    Watadai "wamenunuliwa"
  4. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Hivi Watengenezaji Wa Haya Mabodi Ya Mabasi Wameshindwa Kabisa Kufikiria Kuyawekea Nguzo?

    Sisi wahenga mabasi yetu ya zamani(Leyland&scania)yalikuwa na ngunzo na vifo vilikuwa vichache.mtoa mada una wazo
  5. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka hela za makinikia zikija zitumike kuboresha huduma ya maji

    Ntatumia Noah yangu kufata maji:p:rolleyes:
  6. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya kulevya na intelijensia ya kishenzi

    Africa aliyeturoga kafa kitambo
  7. Gemini6

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Kipaumbele cha Rais Magufuli ni kununua ndege? Hali ya Uchumi inazorota!

    Ni mtizamo wako,chama kina taratibu zake
  8. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji: Sheria ya uhamiaji haiwalengi wafanyakazi wa kampuni ya Acacia pekee

    Tutaruka na kukanyagana sana awamu hii
  9. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hongera Kafulila kwa uzalendo dhidi ya IPTL. Waliokuita tumbili wao ndio matumbili

    Kumwamini mwanasiasa ni sawa na kuamini kuokoka kwa shetani
  10. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Jina Dr. Magufuli latawala kila mahali uchaguzi mkuu wa Kenya. Tanzania tunapata ujumbe gani?

    Mwambieni aruhusu demokrasia tuone anakubalika vipi
  11. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Vigogo hawa ni tishio kwa rais Magufuli

    Hapo kuna mtu anatamani awaloge ili wawe mazezeta kama wale wa Lumumba, wawe wanampigia makofi kama mazuzu.
  12. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi muhimu za mtu hupitia hadi kujinasibu kuwa yeye ni shabiki wa timu fulani?

    Me shabiki wa simba na yanga,ni undezi kufa na presha kwa timu mojao_O:D
  13. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Tabia gani usiyoipenda sebuleni?

    Hapana mkuu,ni kwa wachoyo tu
  14. Gemini6

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema ukweli ila wengi sisi ni wanafiki

    Mpaka miaka mitano iishe labda watakuwa wameacha unaa
Back
Top Bottom