Mbunge ataka hela za makinikia zikija zitumike kuboresha huduma ya maji

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,337
2,000
Mbunge wa viti maalum Agnes Marwa amesema kutokana na tabu ya maji wanawake wanayoipata hadi wanashindwa kutoa 'penzi' kwa waume zao basi ni bora hela za makinikia zitakapokuja zitumike kuboresha huduma ya maji

My Take:
Kumekuwa na wananchi wengi wakisema zitanunulia Noah lakini Noah sio hitaji la msingi kwenye nchi yenye shida ya maji kiasi hiki

 

Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,289
2,000
Minasubiri changu kwakweli, maana hii nchi saivi haieleweki na bora kila mmoja achukue chake mapema
 

luvara

Senior Member
Apr 9, 2011
169
195
Hawa si ndio waliovuruga sheria ya ndoa na kuruhusu mume na mke kukaa miji tofauti. Walafi wa madaraka, wana mapenzi gani na waume zao?
 

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
12,326
2,000
Minasubiri changu kwakweli, maana hii nchi saivi haieleweki na bora kila mmoja achukue chake mapema

maji mara tuambiwe mto Rufiji sijui kuna matatizo gani hivyo hakutakuwa na maji kwa siku kadhaa.....kwa kweli hatuwaamini,kila mtu achukue noah yake aisee....lol
 

mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
28,613
2,000
Noah yangu ntaipiga tinted,brimbo brakes,bose music na spot light za hatari.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom