Recent content by Gemini 16

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Wengine ilituchukua miezi kumi na wiki kadhaa kuja kuuona huu ulimwengu, sijui ni kawaida au vipi, inabidi wenye majibu ya kisayansi watuambie pia. Alafu mkuu kuna ujumbe kule pm.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Msongo wa mawazo nilionao unaweza kunipeleka kubaya, msaada wenu wananzengo

    Badilisha kwanza hiyo username yako. Hiyo ndio tiba ya kwanza. Baada ya hapo, tutaendelea zaidi.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Uzi wako umekuja wakati muafaka nadhani nitajifunza jambo.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Kazi yake ni nini?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ana kiburi cha Madaraka, Ukisikiliza mazungumzo yake ni mtu amejaa Kiburi sana, huenda kuliko viongozi wote

    Huyo wa kwanza sawa, ila huyo wa pili hamna.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Mponye nduguyo, mzazi, mke, mume mlevi kupindukia

    Nini kitatokea?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kuingia nchi ya jirani kutafuta Fursa

    Updates......??
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia mchezo wa kesho Stellebosch vs Simba huko Durban, Matokeo ni Suluhu au Sare

    Haha, mkuu hii ni editing. Umetumia nafasi vizuri kwasababu hamna aliye quote post yako ya mwanzo.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Polisi wa mama ndio walioteka akina Sativa........

    Yeye hajali hata pakiharibika kiasi gani. Amesha jiandalia makazi sehemu nyingine yeye na jamii yake.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

    Umeeleweka vyema.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

    Mkuu pole, ungejaribu kutueleza chanzo cha hiyo depression.
Back
Top Bottom