Ukitaka kujua kuwa huyo mwanamke uliyenaye ni wife material, muangalie pale unapopata matatizo ya kikazi, anakuwa na tabia zipi? (Je anaendelea kukupenda?, anakutia moyo? n.k)
Nakumbuka Kipindi kile cha JPM kuna wafanyakazi wenzangu 6 waliachishwa kazi kwenye lile sakata la vyeti feki. Hadi...
Namtakia kila la kheri huko aendako.
Chama hajawahi kuifunga Yanga na game zote alizocheza dhidi ya Yanga alicheza chini ya kiwango. Haya ni maamuzi murua kabisa
Nilichojifunza ni kwamba ndoa wala hazifanani. Kila ndoa Ina staili ya utofauti ambao unaweza usifanane na ndoa nyingine. Kunakuwa na vitu vichache sana vya kufanana.
Kuna wengine hata wamfumanie mwenza wake utakuta wanaweza vumilia na kusamehe, lakini kuna wengine wakikuta tu umemtumia mtu...
Yaa, Ni kweli.
Miaka ya zamani wazazi wetu walikuwa wanataka tukaoe kijijini, lengo lao ilikuwa wanatusaidia kuchunguza tabia za wazazi wa huyo binti zipoje?
* Wakiona mama wa huyo Binti alimtokroka Mume ili awe huru kudanga - Wanajua hiyo senario kwa asilimia 50 itakuja kujirudia (Wanakuambia...
Ukiuza kitu chako kitakuwa na laana endelevu ya kupigwa bei kila kinapokwenda. Ilianza Kuitwa;
Mawenzi Market,
DTB
Singida Big Stars,
Singida Fountain gate,
Ihefu,
Singida Black Stars
Nakumbuka alisema Rais atakuwa mwanamke au upinzani utashinda
Pia alitabiri tarehe ya mwisho wa Dunia. Kilichotokea kwenye tarehe ile aliyoitaja Hakukuwa na mwisho wa Dunia ila kwenye tarehe ile yeye mwenyewe alifariki.
Kwa Kizazi hiki cha sasa 96% ya wanawake ndio wapo hivyo na ndio hao unaowasemanga.
4% waliobaki ndio hao unaowafagilia mtoa mada. Hawa walikuwepo miaka ya kitambo sana, sasahivi wanaelekea kutoweka. Japo kidogo unaweza kuwabahatisha huko kwenye nyumba za ibada na vijijini.
Ndio maana...
Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni. Usijisumbue kushindana na mwanamke kwa kujibizana nae atakushinda tu nawe utaishia kumpa kichapo.
Mwanamke anauwezo wa kuongea kitu cha uongo cha kukudhalilisha na kikaonekana ni cha kweli
Huyu wagu nilifuga nae ndoa, nimemsomesha Chuo na nimemtafutia kazi Serekalini na nina mtoto nae (Anajua alipotoka na mahali alipo) mtu niliemkuta nae ni mume wa mtu.
Hivyo hii njia yangu inamtesa maana hajui nawaza nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.