Recent content by gem08

  1. G

    Tanzania kamwe haiwezi kupata tija na ufanis ktk uchumi kama CCM itaendelea kubaki madarakani

    Mtoa mada nakupa saluti kwa uchambuzi huu. Well done. Watanzania tuyachambue mawazo haya na picha kamili tutaipata
  2. G

    BBQ funga mwaka iliyoandaliwa na CHADEMA UK yafana

    Hongereni sana vijana kazi nzuri mno. Mimi binafsi nilikuwepo na kushuhudia mkiwa kazini. Kwanza tulifurahia mlivyoipanga na kweli ile speech ya kisiki Golugwa ilikuwa ya kiongozi wa kuigwa. Tafadhali muandae nyingine ifanyike kati kati kidogo ya England.
  3. G

    Operesheni komboa Tanzania 2015 BBQ funga mwaka reading kesho

    Oparesheni Komboa Tanzania: BBQ Funga Mwaka Reading Kesho. Mh Golugwa Amewasili London Kesho Ndiyo Kesho Jumamosi Reading Mheshimiwa Amani Golugwa Amewasili Tayari Kwa Kazi Iliyomleta - OPARESHENI KOMBOA TANZANIA. Video Hapa Chini Mh Golugwa Mwenyewe Akiwakaribisha Rasmi waTanzania...
  4. G

    CHADEMA UK yaandaa Bbq Party - Golugwa mgeni rasmi

    CHADEMA UK inawakaribisha waTanzania na wapenzi wote wa CHADEMA kwenye barbeque (End of the Year BBQ) party itakayofanyika Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street, RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013. Mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na muhimili muhimu wa CHADEMA...
  5. G

    Waraka wa CHADEMA-UK kwa Rais, Mabalozi, Taasisi za Haki za Binadamu

    Safi sana. Hii ni hatua madhubuti dhidi ya matendo ya kigaidi yanayofanywa na baadhi ya watu. Serious issues need serious people and serious actions
  6. G

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    Naomba muelewe kwamba hiyo center number inayoleta utata ipo huko duniani ni kwa yeyote anayependa kutuma FREE SMS kwa hiyo si lazima iwe ni ya VODACOM. Source: THIS IS A FREE TXT NUMBA +44780200332. HERE ARE SOME SMSCS! +44973100973 WORKS ON VODAFONE +44780200332 WORKS ON O2 +44780200341...
  7. G

    Mjadala wa waTanzania UK Kufanyika University of Reading

    Huu ni uzalendo tunaopenda kuuona kutoka kwenu. Sasa nadhani hiyo itakuwa ni jibu kwa wale wanaowachukulia nyie mnaoishi ughaibuni kuwa ni wasaliti mlioikimbia nchi yenu.
  8. G

    Uzinduzi wa Kanda ya Magharibi - Tabora: Zitto na Mbowe wawasha moto!

    Video ya Zitto akilaani mtu yeyote atakayejaribu kukisaliti chama inapatiaka hapa: www.chademauk.org.uk
  9. G

    CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Kwa sababu huna point wala hoja, watu kama wewe huwa tunawashukuru kwa kujazia namba kwenye threads za watu....
  10. G

    CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Wewe ni mtu muelewa sana na kwa kuangalia majibu yako haya nina picha yako kabla hata sijakuona au kuongea na wewe. Kwanza kabisa majibu yako ni ya kina na yanayoashiria mtu huyu ni makini. Hujakurupuka kutoa majibu haya. Pili na swala muhimu sana uliloligusia hapa ni 'Personal...
  11. G

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

    Tamko rasmi pamoja na video vinapatikana hapa: chademauk.org.uk
  12. G

    CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Majibu mazuri sana ila tatizo langu ni jinsi CHADEMA inavyojikita kwenye swala hili. Hii ina ipa CCM a breathing space kwa sababu kama ni maswala ya policy, CCM hawana cha kujibu. Bunge sasa linabadilishwa kufanana kidogo na enzi za chama kimoja. Hii ni kuua upinzani ambao kwa mawazo yangu ni...
  13. G

    Gazeti la Tanzania Daima laadimika mtaani

    Tamko rasmi likiwa na maelezo yote linapatikana hapa: chademauk.org.uk
  14. G

    CHADEMA Huu Ni Wakati Wa Ku-Attack Siyo Kuji-Defend; CCM Ndiyo Walichokitaka.

    Kwa muda sasa CHADEMA imejikuta ikipoteza muda mwingi kwenye maswala yanayohusu sakata la Lwakatare. CHADEMA imejikuta ikijibu hoja nyingi na kuifanya kuonekana inaji-defend zaidi. Cha kusikitisha ni kwamba habari hii imefunika habari nyingine muhimu zinazoonesha uozo na uchafu wa serikali...
  15. G

    Muhongo aliwalipua wana Mtwara, awalipua tena watanzania UK. Ubalozi waficha video!!!!

    Huyu jamaa anatakiwa akae ofisini tu asiingie vyombo vya habari maana huwa anachafua hewa. Madharau yake hayana msingi tunachotaka ni uchapa kazi. Na hiyo video itatoka kweli au ubalozi wameifukia!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom