Operesheni komboa Tanzania 2015 BBQ funga mwaka reading kesho

Operesheni komboa Tanzania 2015 BBQ funga mwaka reading kesho

gem08

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
40
Reaction score
7
Oparesheni Komboa Tanzania: BBQ Funga Mwaka Reading Kesho.

Mh Golugwa Amewasili London



Kesho Ndiyo Kesho Jumamosi Reading Mheshimiwa Amani Golugwa Amewasili Tayari Kwa Kazi Iliyomleta - OPARESHENI KOMBOA TANZANIA.


Video Hapa Chini Mh Golugwa Mwenyewe Akiwakaribisha Rasmi waTanzania. Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street, RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013.


Mh Golugwa akibadilishana mawazo na balozi wa Tanzania UK Mh Kalaghe ubalozini mchana huu kuhusu shughuli ya kesho.
golugwa-balozi.jpg

Usikose mambo makubwa. BBQ Kabambe ya Kufunga Mwaka.​
 
Last edited by a moderator:
ghomolwa ndio mnyama gan? kule serenget national park
 
Safi sana hii kitu. Je kamanda Mawazo yupo? Au ni Golugwa peke yake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom