Habari wakuu natafuta kazi ya ya kufundisha muziki na kupiga vyombo vya music. Sina cheti ila nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika shughuli hii nina uwezo wa kupiga kinanda na gitaa pia ninaimba. Nafundisha rika zote.
Kwa nafasi yoyote ya kazi naomba nijulishe inbox nafuatilia comments.
Hakuna biashara isiyo na mtaji kiongozi (MTAJI KULINGANA NA ENEO) na biashara siyo kukurupuka ni mipango thabiti pia usichukulie poa maisha hatufanani wengine tunaanza from zero wakati wengine mnatengenezewa njia hivyo najua ninachohitaji na biashara nimefanya kwa kiasi mpaka kutafuta ajira ujue...
Wanaforums wenzangu naombeni msaada niweze kupata kazi ya utendaji nimatamanio yangu nipate ajira ya kudumu hata utendaji tu ni miaka mingi natafuta kazi naishia kupata vibarua tu vya muda mfupi.
Nina diploma(2013) na degree(2016) ya uhasibu toka TIA.
Asante
Jamani kama ndoa yako ina amani mshukuru sana Mungu na kama unamume anajali watoto piga goti kwa Mungu kuna watu tunapitia changamoto mpka tunaingia mitandaoni kutafuta faraja.
Mm sijui lipi unapitia ila kama lolote unalofanya au kuamua ni kwa ajili ya wanao fanya bora ww wanao ni wakubwa kiasi...
Kufanya kazi au majukumu yako kisa kuogopa kuachika ni ujinga kama ujinga mwingine.
Mwanamke tena haswa mama kazi ni nyumbani na malezi ya watoto ni jukumu lako hata uwe umechoka vp
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.