kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,182
- 12,286
Hii kauli tata hii.unajua nawahurumia watoto maana mi nilivyokua mdogo mama akisafir tu lazima kila siku jioni nitaenda kusimama njia aliyo ondokea nikisubil arudi likiingia giza narudi ndani weeee hakuna KAMA mama labda huyo baba ndio apewe talaka aondoke mama abaki na hela za matumizi ziko pale pale