Hizi ndio movie kumi bora za muda wote azichoshi . Japo sijazipanga kwa mtiririko
1. Apocalypto ( jaguar) kuna wahuni walitupiga fix et ni Ronaldinho [emoji1][emoji1]
2.the lord of the rings
3.king Kong 2005
4.pirates of Caribbean zote
5.terminator : judgement day
6.ong-bak
7.rambo first blood...
Japo ya kuwa ni nyimbo za zamani ila always ukiweka bado unapata burudan hile hike.
1.nisamehe ya belly black ft Suma lee
2.ulofa ya top c
3.sina raha ya Sam wa ukwel R. I. P
4.lala salama ya diamond
5.amigo ya Les wanyika
Zipo nyingi ila siwez dondosha zote ebu share zako kweny comments...
Hakuna ugonjw mbaya hii nchi kama ugonjw wa uWCB Yan wanaamini kila kizur ni wao kwnn msiwe kama sisi wengne hatuna side Cha msingi mziki mzuri tunasikiliza
NB: mara mia ungesema tuddytomas angalau alikuwa ana beats za hatareeee San ni vile tu wahuni walimvunja kiuno
Viongoz wa timu kubwa mnaruhusu kabx, et kufungua Whatsapp channel ni mafanikio ya timu , et kibegi mafanikio hmn timu ya mpira inaanzishwa kuuza mchicha ni kubeba ubingwa kwhyo mafanikio ni ubigwa au kufikia stage fuln ya kufukuzia ubigwa yan mangungu na jarbu tena Amna viongoz palee
Kibongo bongo ni
Juma k juma
Victor costa
Christopher Alex
Mambele ilikuw capital tv wanaonesha marudio ya game ya arsenal na man u enzi hizo cr7 bdo Chali alikuwa anakimbiza balaaa chenga viumbe vya arsenal hatareeee ila kulikuwepo na stopper mweusi hv sijui Campbell kma sijakosea ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.