Nyani Na Kima Wanaweza Kufurahi Sana Wakisikia Yule Binadamu Aliyekua Anawafukuza Kwenye Shamba La Mahindi #KAFARIKI.
Furaha Yao Itakua Ya Muda Maana Misimu Itakayofuata Itakua Ya Tabu Sababu Hakutakuwa na Mtu Atakayelima Lile Shamba Tena! Watagundua Ni Bora Angebaki Wawe Wanashiba Japo Kwa...
Kuna Wale wasichana Unakuta Sawa Wewe Mvulana unajiona kabisa huna kitu Ila Anakupenda Tu hivyo hivyo Hadi Unajiuliza Hivi Utajiri wangu Uko Ndani Kwa Ndani Ama Nasema Mbarikiwe Sana
Wadada ambao kila siku ukitumiwa sms na namba ngeni unaanza kuuliza _"Umetoa wapi namba yangu???_" kaa hivyo hivyo na maujinga yako wenzako wanaolewa we utabaki kuwa mpelelezi
Wanawake wa Zamani Walikuwa Wakiamka Baada ya kazi zao Nyingine Wanawasha Moto na Kuanza Kupika Chai Lakini Wanawake wa Sasahivi Wakiamka Wanawasha Data Hata Mswaki Hawapigi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.