Recent content by Geezzle

  1. Geezzle

    JamiiForums Tanzania GE2020 The West has no appreciation to CCM that is why we will vote for Dkt. Magufuli

    "like whether"😃😃😃..,aisee siyo lazima utumie lugha ya malkia, unaweza kuonekana ndina kumbe una akili zako timamu.
  2. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki Scania R450. Je, pesa itarudi baada ya muda gani?

    Yani wewe ndo unakosea kabisa..,kwanza sidhani kama mleta maada kasema kaacha kulima. Pili, ukwasi mara nyingi unaletwa na chanzo zaidi ya kimoja cha mapato, mkuu wewe hujui kwamba kilimo ni moja kati ya biashara zisizotabirika KABISA???! au haijawahi kulima? hivi unafaham kwamba pamba msimu...
  3. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Video Display Cable Wire

    Ninaomba kujua kama naweza kupata hii display cable wire ya Hp Chromebook 11 G4 yangu imekufa., Nawasilisha.
  4. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai: Nimenukuliwa vibaya sijamaanisha Bunge limetoa Fedha kwenye kugaramia matibabu ya Lissu

    Mimi ni mwanachama hai wa CCM, ila ndugu yangu jaribu kuficha ujinga wako basi hata mara moja moja.., kwenye ule uzi wa ndugai nimeona comment yako, niki relate hii ya uzi huu ni dhahiri wewe ni kanyaga twende tu, ukimya sometimes ni jawabu zuri mdau, bora ungepiga kimya tu
  5. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

    Huzeeki mama ndo nishakuwahi ivo., we unga mkono tu juhudi kuelekea nchi ya wapendanao😊
  6. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

    Sema kama waja mama nisogee stendi.., ikibidi nibebee na mihogo mibichi nimeimiss😊😊😊😉😉
  7. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

    Acha kuwish mama njoo tuvalishane tu kama vipi.., kwani shi ngap😇😇😇
  8. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

    Shilingi ngapi hizo na mimi mnyonge nianze kuweka za kununulia hilo jiko!
  9. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Makonda: Stieglers Gorge itamtua mama wa kijijini mzigo wa kuni na kumuondolea mama wa mjini jiko la mkaa

    Shilingi ngapi hizo na mimi mnyonge nianze kuweka za kununulia hilo jiko!
  10. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    sawa mleta uzi a.k.a "Mr uelewa mpana"..,endelea kutumia haki yako ya kikatiba kubwabwaja!
  11. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea huko Kusini sio ununuzi wa korosho ni unyama na unyang'anyi dhidi ya wakulima pamoja na wafanyabiashara wa ndani wa zao la korosho

    Hivi mwenzetu huwa unafikiri kwa kichwa au makkalio! Maana kama hii ndo product ya kichwa chako, nawahueumia watoto wako wakirithi hata thelithi ya akili zako
  12. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Kutekwa kwa Mo Dewji: Familia ikodi private criminal investigation kutoka nje ukweli ujulikane

    mpaka atekwe kada wa ngazi ya juu juuu kabisa ndo wataruhusu😉😉.., kwa suala la Mo tuiachie serikali ndo yenye mkono mrefu kuliko yeyote!
  13. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

    mkuu we google tu utapata maelezo mazuri sana!
  14. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo makubwa anayoyafanya mtoto wa Tandale, kama wananchi wakimuhitaji tuu, Kubenea mpishe!.

    It's now official, sintasoma tena nyuzi zako mleta uzi.., ni aibu na fedheha, hivi siku hizi unaandikiwa au unaandika mwenyewe? sometimes ni busara kukaa kimya kama huna kitu tangible cha kuandika mzee wangu Paskali Mayalla
  15. Geezzle

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Tanzania tunadaiwa jumla ya shilingi trilioni 8.4 kutokana na kesi kubwa nne za kimataifa

    Uzushi hukanushwa kwa facts brother, nadhani ungetusaidia ku prove huo uzushi wa zito kwa facts, otherwise hii ni supu maji matupu!
Back
Top Bottom