Tunahusika na kufanya usafi nyumbani, ofisini, ukumbini na popote pale panapohitajika. Gharama za usafi wetu zinategemea na ukubwa wa eneo, pia kama unasumbuliwa na wadudu wasioisha tunaku-connect na watu wetu wazuri sana kwajili ya fumigation katika eneo lako.
Nb: hata ukihitaji kupata huduma...
Too bad una limit ya viewers, anyway I hope nitapata msaada hapa hapa.
Nahitaji kuanza kufanya biashara ya mashuka niwe nanunua belo pale zinakopatikana kwa bei nzuri na supplier wa uhakika (Grade iendane na bei). shuka nazotafuta ni zile za cotton nzito unakuta ndani ziko either pair 2 na...
Wakuu habari zenu, natafuta mdada wa kufanya nae kazi, naishi Arusha (tengeru) kwa sasa, nahitaji mdada ambaye atakuwa anatengeneza matunda kwenye kijiwe changu. Malipo ni kwa siku na kwa maelewano. Akiwa anaishi tengeru atanifaa zaidi.
KARIBUNI PM
Mimi ninayo ya myonyo, jumla na rejareja karibu
Jumla 5ltrs-60,000 ya nywele, 70,000 Mwilini(mixed)
reja reja- 250mls-10,000, 200mls-8,000 na 180 mils-5,000(haya ukichukua more than one bottle nakupunguzia 1,000 KARIBU MKUU).
Habarini za mchana wakuuu?
Mimi naleta bidhaa zangu hapa nauza mafuta ya mnyonyo kama inavyoonekana pichani na sabuni za maji multi-purpose nzuri na zenu harufu mbali mbali… nawafikia wakazi wa Arusha na Dar Es salaam kwa wakati..
Bei ya mafuta.
1. 250Ml-10,000
2. 200ml-8,000
3.180ml-5,000
Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.