Recent content by gebu

  1. G

    JamiiForums Tanzania Boris adai Putin alitishia kumuua

    . Be.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upuuzi wowote uliwahi kufanyiwa na taasisi yoyote ile?

    Tuna group letu.Nicheki pm niku add
  3. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upuuzi wowote uliwahi kufanyiwa na taasisi yoyote ile?

    Mrefu mweusi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upuuzi wowote uliwahi kufanyiwa na taasisi yoyote ile?

    Hahaha na wewe mdau wa shule yetu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Je, kuna upuuzi wowote uliwahi kufanyiwa na taasisi yoyote ile?

    Ni kweli kabisa.Umesoma mwaka gani
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kabila lako limetoa mtu gani maarufu?

    Barack Obama
  7. G

    JamiiForums Tanzania Fight night: huku Canelo Alvarez kule Kamaru Usman

    Jaamaa unajua vitu vzr Sana kuanzia boxing mpaka ufc na naona umemuweka mwamba Deontay Wilder (Hiki ni chuma haswa).Nakuambia Mimi shabiki Sana wa Canelo Ila atakaliswa.UFC ni mnaija anashinda Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Hahahahaha anaujuaji wa kishamba sana
  9. G

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Acha kumtetea huyu babu.kuna mada kaanZisha haZina kichwa wala miguu mara aulize alipe Joshua Nasari,mara vijana waende jeshini,mara mama Mhe.Samia alegeze vyuma na Zingine nyingi.Humu tupo kwa ajili ya kujifunza na kukuza imani kwa Mwenyezi Mungu ila anatupia mistari kumi.Tunaandaliwa kwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Hahaha nimecheka sana naimani unatania.Mungu amponye dogo
  11. G

    JamiiForums Tanzania Michuano ipi ya World Cup ilikuwa bora sana kuitazama?

    Mimi michuano ambayo niliikubali ni ile ya mwaka 1998 Kwanza ilikua na vibe/hamshahamsha za kutosha na wakati huo Ricky Martin katoa wimbo la mashindano linaitwa cup of life(go go aleee aleeee) huu wimbo ukipigwa mpaka sahv lazima uukubali.Kipindi hiki ndio kulikua na...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka.Hii familia baba,mama na wototo wote wazee wa matukio ila dogo lako hatari.Mkitengeza team mnaweza kuiba ata Benki Kuu hahaahaa
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini album ya pili ya albert mangwear "NG'E" wabongo tunaiunderrate sana?

    Mwenye wimbo wa ngwea na dark masta unaitwa darkii
Back
Top Bottom