Recent content by GEBE MILLINGA

  1. G

    Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Wote walio husika kumnyima haki Lema Mungu atawahukumu kabla ya Umauti. Ili nao washuhudie. Viva Lema Viva A Town.
  2. G

    Aina ya viongozi wa nje wanaoitembelea Nchi yetu awamu hii inasononesha

    Napita tu,Shamba la Bibi hali chagui mlaji,Jalala hali chagui taka.haya napita.
  3. G

    Natafuta chumba cha kupanga

    Nyumba ina pangishwa vyumba 4 master moja jiko seating room, Deming room stoo ndani na nje ,parking Umeme maji ya kununua jirani Eneo Kisukulu. Kodi 200,000/= kwa mwezi Kodi ya Miezi 6. Call 0754 771177
  4. G

    Lema: Mawakili msihangaike tena

    Mdogo angu Lema ww una maono nakuamini komaa MUNGU yupo nawe na Taifa hili Lita komboka kupitia kwako tupo pamoja nawe.
  5. G

    Edward Lowassa: Wako waliosema nitakufa lakini mpangaji wa yote ni Mungu

    Amen. WATA TANGULIA WAO ,KURA YAKO 2020 IPO KWANGU. NA MUNGU AKULINDE.
  6. G

    Gharama za kumlinda Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Hakuna Rais wa Marekani Ambeye yupo simple isipo kua huyu Mteule ni Maarufu ndio mama lkila kitu tunaambiwa Hapo ulinzi kuanzia Babu mpaka mjukuu ulinzi ni %100/=
  7. G

    Mbunge Lema apandishwa kizimbani, afunguliwa kesi 2 za jinai. Anyimwa dhamana

    Ni maono,Mh,Lema Utata likomboa Taifa Hili,MUNGU Yu pamoja nawe nasi TU pamoja nawe MUNGU Ibariki Tanzania.
  8. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Mr Baba jazey athante kwa kuliza Nauli hutegemea majira,kipindi cha Baridi ni $1950 Joto $2200___2100b Kulala ni bule nihapohapo kwa Mwenyeji wako. Mtaji inategea mzigo unao fuata Lugha Kubwa ni English USALAMA %100 Naheshima juu Hasa ukitambulika kwa ni Tz BASI wana mkumbuka Nyerere.
  9. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    MTU mwenye hakili timamu ana uliza una ulefu gani? ????¿???
  10. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Ww una ndugu rafiki au jirani yako kaenda Japan kaibiwa? Mlete hapa aseme.
  11. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Matapeli ni nyie mnao tumia majina Bandia na usilolijua ni usikimbilie mada ,Japan sio Kama Tz,Unapo tua Air port ukamaliza utaratibu wa pale ndani Ww utaonekana popote uendapo,na hakuna biashara ya Cash pesa yako Bank unalipia Bank,wa Tz niwajuzi kuongea mdomoni kishwani ( ) Na huishia mdomoni,
  12. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Makoka ninapo ishi. Tabata Segerea Office ndio Garage ilipo.
  13. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Zamana huwa ni pesa Ambayo itahusika na Ubalozi
  14. G

    Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

    Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka. Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu. Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua...
Back
Top Bottom