Recent content by gbukuku

  1. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Ukata Klabu ya Yanga: Kamati ya kuhamasisha kuichangia klabu hiyo yatinga Bungeni! Mbunge ataka Wabunge wakatwe posho kuichangia

    Tanganyika Ina ya miaka 1,000,000 lakini inashindwa kupata uongozi bora seuze Yanga 🤒
  2. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huyu dada kavaa Sare za Jeshi la Tanzania za mkuu Brg Grn CD Katenga?

    Ashughulikiwe Afande kwa kosa gani? Aliyejipiga selfie ndio ashughulikiwe maana akili zake ndio zilimtuma huko, pia alitoka nazo nje? Kama la wanaoposti picha hizi ndio wachochezi
  3. gbukuku

    JamiiForums Tanzania China yafanikiwa kufika sehemu ya mbali zaidi mwezini

    Wamejitahidi sana!! na wamesaidiwa na tekinolojia iliyokuwa sana Sasa
  4. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Kakuamnbia nani?
  5. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Ni marufuku kuimba wimbo wa Taifa bila kibali maalumu cha Wizara ya Mambo ya Ndani

    Safi kabisa mm nilianza kujisahau na kuwafundisha wanangu, naona hata shule ziandike barua wizarani kuomba kuuimba, nadhani Sasa hautasahaulika kwani utakuwa na values kubwa kila mtu atauhitaji kuujua
  6. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Mabenki: Serikali na TRA kutoa siri za wateja hadharani kunaua mzunguko sababu watu wanakosa imani na benki

    Kwani huko Marekani wanataja zipo benki gani?
  7. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    Kwani ziro si namba???
  8. gbukuku

    JamiiForums Tanzania Andika namba mbili za mwisho za simu yako

    18...........
  9. gbukuku

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wadaiwa kupiga na kujeruhi viongozi wawili CCM

    Nijuavyo mimi karibu na mahali CCM ilipokuwa inafanyia mkutano japo pana umbali kama wa mita hamsini kuna Ofisi ya CDM, na Mwanyika alikuwa naenda kutembelea ofisi hiyo kabla ya kuripoti katika mkutano wa Kampeni ndipo vijana wa CCM wakaanza kuvurumisha mawe kuwaelekea wa CDM, Inapaswa siasa...
Back
Top Bottom