Recent content by Gauss93

  1. G

    Nimeenda ofisi za NHIF kwa ajili ya kujisajili kama mwanachama binafsi nikaambiwa ni milioni 1.5 kwa mwaka. Je, hii ni sawa?

    Insurance ni kama gemu la kubeti, ukiweka multiple-bet kuloose ni rahisi ndo maana hata wao wanapenda mjiunge kwa group kama familia nzima au watu 10 10 coz ni ngumu kwa nyie wote kua mnauguaugua kila mara. Tofauti na mtu mmoja unaeza jiunga kumbe una makisukari yako na mapressure na makilakitu.
  2. G

    Maoni: Rais Magufuli ahutubie kama Rais

    Kupimwa mkojo ndo solution
  3. G

    SPECIAL THREAD: Kufungwa kwa vituo vya mafuta nchini kwa kutokuwa na mashine za EFD

    Mmepewa mwaka mzima mweke mashine mnataka mpewe nn sasa, funga vyote.
  4. G

    Nchi ya Kongo kuna vita, wanawezaje kutumia umeme bure bila kulipia?

    The Inga Dam, alone on the Congo River, has the potential capacity to generate 40,000 to 45,000 MW of electric power, sufficient to supply the electricity needs of the whole Southern Africa region. Ongoing uncertainties in the political arena, and a resulting lack of interest from investors has...
  5. G

    Zitto Kabwe wewe ni ''big fish in a small pond''

    Coward ni YEYE aliyeshindwa kupinga hadharani kipindi kile kisa et n mbunge mbona BASHE anapinga hadharani, zitto co coward coz anasimamia anachoamini hata km yuko mwenyewe. Zitto ni samaki mkubwa na siku akiwa rais maBashite wenu wote watafungwa hata kama kesi n za mwaka 93'
  6. G

    Magufuli versus Tundu Lissu; yupi unamwamini kwenye sakata la makinikia?

    Rais hawezi kuwa anakaa kufatilia kuprove au kudissprove kila kitu anachosema mtu, akifata ya TL mtataka na ya Zitto afatalie, ana akili yake washauri wake na mipango yake full stop. Hata akifata ushauri wa Lissu sio lazima aseme kwamba ameufata. Serikali kununua makontena yanayocontain...
Back
Top Bottom