Recent content by gaudence ngasa

  1. G

    JamiiForums Tanzania Padri Katika Njama za Kumuua Mpenzi wake...

    waizi wakizidi hatusemi bora uwiz uhalalishwe padri akiwa na tamaa zake hatuwezi kuvunja sheria za kanisa maana hakulazimishwa kuwa padri na alijua sheria za kuwa padri mapema tuu
  2. G

    JamiiForums Tanzania DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

    kiukweli naomba muwe na subira waislamu wenzangu maandamano hayasaidii tufuate utaratibu
  3. G

    JamiiForums Tanzania Risasi zarindima Arusha

    Kama ulijua hivyo kwa nini hukulitendea kanisa haki
  4. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    hawa majamaa wanachuki na ukiristo chuki iliyopandwa na hiyo redio yao ya kinaa mnataka wote tuwe waislamu nn hiii ngumu bana
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    hivi wewe unataka tuamini hiyo redio ya udaku badala ya ushahidi wa kihistoria hiyo redio nini ulitaka nchi hii ikombolewe na nani weye kichwa kinabaki kuwa kichwa na wewe sikio unabaki kuwa sikio tuu binuka pinduka huwezi kukizidi kichwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    hiyo redio mnaiita imani au imamu maana nawaona wendawazimu tuu huwezi kusimama ukasaiti ni sawa sawa na gazeti la udaku redio inayochochea maasi wewe utadhani vipindi vya taarabu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    Nyerere jembe ulitaka awe muislamu mbona ww muislam hatukusemi toa hoja ukatoliki wa nyerere na uislamu wako hautuhusu kama vip jilipue bas kama unahasira ili ulipwe thawabu mafundisho mengine bana embu jamani fikirieni ukijiua utalipwa kweli
  8. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    hata ukimkumbuka huna effect kwake ur nothing to him iko wazi hawezi kupendwa na wote wako wanaomtukana mungu sembuse nyerere sishangai
  9. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    Hivi dini hii mbona inangangania sana habari ya udini tz au mnataka kupata thawabu kwa kumwaga damu? Hpa hakuna cha jihadi hapa mwendo ni huu huu hata kama mnapewa mafundisho ya uchochezi ukijiona unaonewa jinyonge uepukane na unyonyaji
  10. G

    JamiiForums Tanzania Msiomkubali mwalimu Nyerere angalia hapa.

    huwezi kuibadili nyeusi kuwa njano sio ajabu vijana wasio na akili kumrudi mamake ni sawa na ww unavyomsema mwl pamoja na yote aliyofanya swala la udini wewe na dini yako ndo mnalijua
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rangi ya CCM

    Kiongozi mkubwa kama lisu anasubutu kuzuia michango ya maendeleo jimboni kwake wakati chama chao kinachangisha maskini nchi nzima huu sio ungwana wasingida wanaongoza kwa tembe na kutokwenda shule badala awasaidie yeye ndo anawagandamiza huu ni uchawi...haitoshi anaingia bungeni akiwa kifua...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rangi ya CCM

    Kinachonishangaza ni namna viongozi wa chadema wanajiita waadilifu na kuchangisha fedha mtaani kwa ajili ya uchaguzi ili waende ikulu baba wa taifa namnukuu ''ukiona mtu yupo tayari hata kutumia fedha ilikwenda ikulu aogopwe kama ukoma" lkn pia mbona katika maandamano yao hawawatangulizi watoto...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa CHADEMA: Mnajua siri ya vitambulisho vya uraia kutumika na wapiga kura?

    haswaaaaaa wezi huwaza kuibiwa vitambulisho muhimu kama hawaelewi waseme tuwape darasa hao
  14. G

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa CHADEMA: Mnajua siri ya vitambulisho vya uraia kutumika na wapiga kura?

    hamna chochote hapo unahakika na usemacho wewe au tu kwa vile twaweza bofya? Fikiri juu ya utaifa kabla ya uchadema wewe tumechelewa sana kuvipata vitambulisho vya taifa wewe angalia nchi zilizoendelea TAFADHALI SWALA HILO LIWEKWE MBALI NA SIASA WATU TUNATAKA MAENDELEO SIO UCHOCHEZ HATA KWA...
Back
Top Bottom