Huu ni upumbavu kabia mnataka wateja walishwe vyakula vivyoisha muda wa matumizi kwa kisingizio cha uhuru wa biashara?
Hili ni zoezi zuri na linapaswa kuwa endelevu.
Ni upumbavu kusifia kiasi chako cha ujinga......East Africa hadi America ni nini Mh.Zungu?
Naona hata wenye uelewa wao wanajitahidi kuujaribu"ujinga"!
Bora kukaa kimya tu kuliko kuongea upumbavu kama wa Mh.Zungu.
BASATA hawajitambui hawana mamlaka ya kumfungia msanii nje ya mipaka ya Tanzania......vinginevyo msanii huyo awe ametenda jinai nalo sio BASATA tena.....ACHENI ROHO ZA KIMASKINI ALIYE JUU YUPO TU....VIVA DIAMOND...VIVA TANZANIA!
Rais Magufuli hadi anatia kinyaa sasa kila kitu anakisemea yeye!
Kwa nini asiwape wataalamu aliowateua kutoa ufafanuzi kuhusiana na mambo ya kitaalum?
Watanzania tuliuziwa Mbuzi kwenye GUNIA na NEC ya JK......Makanisani ni yeye,Misikitini ni yeye,Reli ni yeye,Tanesco ni yeye,Maji ni...
Hoja za kinafiki kabisa ......Rais mwenyewe anafurahia hawa nyie mnaowaita "mabeberu"wanapokuja na misaada yako.....leo mnaanza kuzuga kuhusu raslimali zetu .....ni raslimali gani hizo na zinatusaidia nini kama nchi wakati uchumi wetu upo ICU?
Kilichowazi hapa ni kwamba Mh.Rais Magufulu...
Hapa ni lazima watanzania tuhoji kulikoni?
Mikutano mikubwa ya kimataifa kama hii ndio sehemu muhimu na sahihi za viongozi wetu kuonyesha ukomavu wao kiutawala.
Ajitokeze Waziri Mahiga,Msemaji wa Serikali Dk.(?)Abbas na mwingine yeyote watuambie awamu ya tano wanaipeleka wapi Tanzania.
Akina...
Serikali kuhusishwa na shambulio la Mh.Tindu Lissu una ufafanuzi wowote?tusiwe vigeugeu na malimbukeni wa kusaka tonge tu.....Rais Magufuli na vibaraka wake akina Paul Makonda wanaipoteza Tanzania katika ramani ya dunia kwa mambo yao ya chuki binafsi,uchu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.