Recent content by GASTON

  1. GASTON

    Nguruwe hajaingia joto, nifanyeje?

    híí línk mвσnα inakataa вσѕѕ
  2. GASTON

    Serengeti breweries

    P M ni private msg, so unaeza ukamtumia msg akakupa hayo maelezo,
  3. GASTON

    Tabia ya mabinti kuwafanya Boyfriends zenu baba or walezi wenu

    Kama mnapendana kweli na mna malengo mnaweza kusaidiana pindi mmojawapo anapokuwa na tatizo bila kujali upande wa mwanamke au mwanaume. Lakini kitendo cha kumwachia mmoja majukumu yote hapo mapenzi hayapo ni utapeli tu coz pindi utaposhindwa kumpatia kila anachotaka ni lazima amtafute wa...
  4. GASTON

    Ukitaka kujua raha ya sex

    Ukifanya na ENGINEER?
  5. GASTON

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    Mh! Hii kali coz kila mtu anaeenda kule anasingizia kisukari
  6. GASTON

    Tujifunze nini kutoka wa Wachaga?

    Upendo, Umoja, Bidii katika kazi, Pia hawa jamaa huwa wanapenda kumsaidia mtu namna ya kutafuta na kufanikiwa. (Hawakupi samaki ila wanakufundisha na kukuwezesha kuvua)
  7. GASTON

    Majina na Tabia zake

    kweli ni wapole kwa sura, wacheshi na wana mvuto. ila sio waaminifu kwenye mapenzi na wanapenda sana kufanya mapenzi
  8. GASTON

    Demu wa ndugu yangu...

    HUYO DEM CYO KABISA, KAMA AMETHUBUTU KUMPA RAFIKI WA BOYFRIEND, SASA HAO WASIOJUANA NA HUYO BOYFRIEND WAKE SI NDO KABISAA WANAKESHEA. ILA LAWAMA CYO KWA BINTI TU HATA HUYO RAFIKI AKE NA DOGO NI MNAFIKI TENA MTU HATARI SANA. SEMA NA DOGO UOKOE MAISHA YAKE TENA KAMA UNA MUDA MPELEKE DOGO ANGAZA...
  9. GASTON

    Shida ya kusimamisha

    Kimsingi unatakiwa kuachana na hizo mechi za nje utulie na Wife, Alafu utafute chanzo cha hilo tatizo. Kama bi mkubwa ndo kakufanyia hivyo ujue hilo nalo ni tatizo kwani mwisho wa cku unaeza ukawa doro mpaka mechi za nyumbani.
  10. GASTON

    Nyanga za Chuo

    Kaaazi kweli kweli, Huyu mwana dada Hawez kuwa mhandisi, coz kule cdhani kama kuna type hizi. Naona huyo mhandisi kulia alikua anapiga FLUID MECHANICS, Hayo ni maandalizi ya kushikwa shati na maprof coz kwa mtindo huu hatachomoka m2
  11. GASTON

    Afadhali changudoa

    Haya ndiyo matoke ya kutongoza kwa kujisifia ili ukubaliwe kiurahisi! Sasa ndo wakati wa kutimiza hizo ahadi ulizotoa... Siku nyingine ukiwa untongoza unatakiwa kuwa muwaz na mkweli ili kuepuka kuwawezesha hao warembo kuvuna wasichopanda
  12. GASTON

    Madawa ya kuongeza maumbile...Kuna ukweli au kama kutafuta rupia za mjeremani???

    kweli hazina lolote ila ni wa2 wamejiwekea mazoea tu na kuziaminisha brain zao kuwa zina efffect coz kuna jamaa wengine hawawez kukutana na mdeme bila ya kutumia
  13. GASTON

    Ndoa Zingine mmmhhh

    Huyu bint atakuwa mtaalam wa mambo ya uchumi coz kafikiria mbali sana kwan ana uhakika akiwa na huyo mzee anawezapata kila kitu atachotaka coz money is every thing! akitaka pesa anachukua kwa mzee, akitaka kumaliza haja zake za mapenzi, anachkua pesa kwa mzee then anaenda kutafuta kijana mwenye...
  14. GASTON

    Wanawake Hawapendi nini?

    Hivi jamani hamjagundua kuwa wanawake nao wamekuwa mabingwa wa kudanganya cku hizz??? kama una tendence ya kumdanganya na wewe utaishia kudanganywa tu! Angalia usije ukapendwa kwa ajili ya uongo wako. Mpe nafasi akupende kama ulivyo
Back
Top Bottom