Recent content by Gastar Sultan

  1. Gastar Sultan

    HP compaq i3 Desktop inauzwa

    wakuu hii ni used na ndio mana hata bei yake iko poa sana
  2. Gastar Sultan

    HP compaq i3 Desktop inauzwa

    mkuu hiyo ni flat screen ila CPU ni Hp Niwie radhi nimekosea kuandika.
  3. Gastar Sultan

    HP compaq i3 Desktop inauzwa

    HP compaq Desktop inauzwa 250,000/- HDD 250 Gb RAM 2.00 Gb Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz One CD rom drive Monitor DELL 21 inch Keyboard Mouse All wire cable Kwa mawasiliano : 0717300844. Dar es salaam.
  4. Gastar Sultan

    Wauzaji na wanunuzi wa laptop tukutane hapa.

    HP compaq Desktop inauzwa 300,000/- HDD 250 Gb RAM 2.00 Gb Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz One CD rom drive Monitor DELL 21 inch Keyboard Mouse All wire cable Kwa mawasiliano : 0717300844. Dar es salaam. Maongezi yapo bana njoo inbox au piga simu...
  5. Gastar Sultan

    Computer4Sale HP compaq Desktop inauzwa

    HP compaq Desktop inauzwa 300,000/- HDD 250 Gb RAM 2.00 Gb Processor Intel (R) Core (TM) i3-2120 CPU @ 3.30Ghz One CD rom drive Monitor DELL 21 inch Keyboard Mouse All wire cable Kwa mawasiliano : 0717300844. Dar es salaam.
  6. Gastar Sultan

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    Kweli mkuu itabidi ajilekebixhe sio anawashutumu watu wa upande mmoja.
  7. Gastar Sultan

    Bei za Ethernet cable

    Posta maeneo gan mkuu pia wanazo receiver za internet...sorry
  8. Gastar Sultan

    Bei za Ethernet cable

    Habar gani jamani wanajamii forum nafikili wote wazima tena wa afya ila jaman kunatatizo kidogo nilikuwa naomba kuxaidiwa jaman kuna waya unaitwa Ethernet cable unatumika kwenye computer kwa ajili ya internet so wadau km kuna mtu anafahamu nitaupata wap na kwa shilling ngapi tafadhali naomba...
  9. Gastar Sultan

    Jinsi ya kutengeneza website(tovuti) bure ya kiofisi (acha kulipia leo)

    Umelitendea haki hilo jina mkuu kweli unahitaji pongezi......Shukrani sana kwa darasa la manufaa ya kimaisha. Yaan sijutii kutumia jamii form
  10. Gastar Sultan

    Jinsi ya kuweka matangazo katika blog

    Ahsante mkuu na ushilikiano wako .......#stivii
  11. Gastar Sultan

    Jinsi ya kuweka matangazo katika blog

    Kuweka matangazo km ya tigo, Airtel na mengineyo coz matangazo yako mengi ila mm kinachonishinda ni hicho tu. Please km unauzoefu huo naomba unielekeze mm ni muelewa sana......# FTP
  12. Gastar Sultan

    Jinsi ya kuweka matangazo katika blog

    Habari wana jamii. Natumaini kuwa ni wazima wa afya! Nilikuwa na matatizo nawaomba mnisaidie kwa wale wenye uelewa na mambo haya au wale walikuwa wanafanya biashara kama hii ya blog. Nimetengeneza baadhi ya blog na tayali zinafanya kazi ila kinachonishinda sasa ni jinsi ya kuweka matangazo...
  13. Gastar Sultan

    Faida gani ntapata kufungua website au blog?

    Nimefungua blog mkuu lakini inanichanganya jinsi ya kuweka matangazo je unaweza kunifahamisha mkuu..?
  14. Gastar Sultan

    Channel mpya ya TV1 inajiachia, raha tupu

    Acha maneno mengi tutajie frequncy zake tuiangalie mkuu..
Back
Top Bottom