Recent content by gasozi

  1. G

    RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

    Siyo hivo tu mkuu mfano kutoka kakonko kwenda makao makuu kigoma ni afadhar ukaenda mwanza make mwanza ni karibu kuliko kakonko kigoma, Muda mwingine mi naona ni kusogeza huduma karibu na jamii.
  2. G

    Tanzania tumedhalilishwa sana nchini Kenya. Isijirudie la sivyo tutalipiza kwa Uhuru Kenyatta desemba 9/2021

    Kwani kwenye sherehe za uhuru hawezi kumtuma waziri wake wa mambo ya nje?,
  3. G

    Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

    Ukisema huna hela watakubatiza Baba sina
  4. G

    Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

    Ukisema huna hela watakubatiza Baba sina
  5. G

    Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    Nakukumbusha kua mwaka huu moto haujakimbizwa mikoani.
  6. G

    GE2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

    Muleta maada kaandika kabisa kwamba lisu anakubaliana na msimamo wa katiba ambayo ndo serikali inaitumia saiv. Ko sion kama yuko tofauti na waliopo maana yake kama serikali ya sasa inaruhusu nayeye analuhusu kama inakataza na yeye anakataza isipokua kasema kama kweli wanataka ikatazwe kisheria...
  7. G

    Wataalamu Wa Maabara Tanzania

    Habari wanajukwaa, Kuna hili suala la usajili wa wataalamu wa maabara Tanzania, hili ni jambo zuri ili kupata wataalam waliokidhi vigezo vya kutoa huduma. Nina tatizo juu ya utaratibu unaotumika, wao husajili mtu kwa kumpa hati ya muda(provisional registration) ambayo huitumia kwa miezi kumi na...
  8. G

    COVID-19 ni ushahidi kuwa Madaktari na Manesi ni kada zinazostahili kulipwa vizuri sana na pengine kuliko kada zingine zote

    Embu fikilia diploma ya ualimu=miaka miwili, afya=3. Digrii ya daktar(MD)= miaka 6, ualimu= miaka 3. Afu unataka walipwe sawa kwel??,
  9. G

    Kwa wale wapenzi wa CALCULUS: tahadhari kuna maswali majibu yake yamekosewa hapa!

    Kwahiyo ni sifuri gawia mbili eti. Nimejaribu kupitia majibu yao na nimegundua kuwa majibu yetu sote yako sahihi, ya kwao na ya kwangu pia. Sema tu safari hii walichofanya ni kwamba wamerekebisha maumbo husika, badala ya kuchukua umbile zima la swali kama lilivyokuwa mwanzo, wamechukua nusu...
  10. G

    COVID-19 ni ushahidi kuwa Madaktari na Manesi ni kada zinazostahili kulipwa vizuri sana na pengine kuliko kada zingine zote

    Kesho ukiona ndugu yako kazidiwa na jukumu la kumuuguza ni lako, kanidham katarudi. Hawana lolote kwani walilazimishwa kusomea fani hiyo. Ni wajibu wao hawapaswi kuonewa huruma hata kidogo. Kada zingine mbona hawana kelele??? wapige kazi hatukuwatuma kusoma udaktari msitusumbue. Sent using...
Back
Top Bottom