Sana hali mbaya sana kwa upinzani hasa hasa kwa Chaga Development Manifesto (CHADEMA) japokuwa hawataki kukuri... nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi!
Kwa taarifa yako tu, kama hujui tafadhali leo tambua kuwa CDM ilianzishwa kama wakala wenye lengo la kuwanufaisha wachaga... kirefu chake ni Chaga Development Mission Agency... sasa tusishangae tukiona leo hii wanakumbatia ukanda na ukabila. Wengine waliopo hapo ni hadaa wao ndiyo origino...Hii...
Nimeambiwa kirefu cha CHADEMA ni Chaga Development Mission Agency hiki chama ni kama wakala wa kuendeleza missions 'mipango' ya maendeleo kwa wachaga tu... wengine ni kama hadaa tu!
Inasemekana cdm wameshashindwa uchanguzi in advance kule Chalinze. Ni jimbo inasemekana limekosa mvuto kwa Slaa na Mbowe na Lema amegoma kisa eti walimwachia kwa sehemu kubwa kule Kalenga, sasa ni zamu yao!
Acha kutukana watanzania jnuswe... kama CCM inapendwa na wajinga basi wote walioichagua ccm uchaguzi mkuu uliopita ni wajinga... sasa piga mahesabu ni watanzania wangapi walichagua hicho chama. Busara na hekima ni muhimu kabla hujasema chochote. Kuwa mstaarabu!
Mkuu Crashwise, mimi mwenyewe nilikuwepo kwenye hiyo kampeni. Hakuna kitu kama hicho usiwaongopee wanajopo hapa. Kuhusu kunawa mikono ni jambo la kiafya... unaposhikana na mikono na zaidi ya watu 1000, ni jambo la kawaida sana na wala si kudharau watu ulioshikana nao mikono, ni kanuni tu za...
Kuangalia kipeperushi chake si kwamba hajui kilichomo mkuu... hata wewe unaweza kuwa unaangalia kila wakati kazi uliyoitayarisha. Inawezekana kabisa ni kwa kujiridhisha ama kuboresha maeneo muhimu na kuongeza points kulingana na mazingira unayokutana nayo toka eneo moja kwenda lingine!
Nataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.