Recent content by GAS COOKER

  1. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania African pilgrims blamed for the Hajj stampede

    Na mwaka jana waliosababisha ni wananchi wa Bara gani, Hivi Hawa jamaa ni aje
  2. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Kiislam yatoa tamko dhidi ya Lowassa na Gwajima, kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015

    Nashangaa mods wanaachia uzi wa Kipuuzi kama huu kuendelea kuwa hapa
  3. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa wana CHADEMA nchi nzima

    Hivi lumumba mna matatizo gani nyie?
  4. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Bendera za CCM zaiteka Arusha

    Loawasa aliwajua watu kama ninyi ndyo maaana akawaambia Elimu Elimu Elimu :-(
  5. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Bendera za CCM zaiteka Arusha

    CCM Arusha ilishajifia zamaaaaan, Hata kuku akishachinjwa huwa anajirusharusha ihali atakata Roho na kuliwa kama kitoto:-(
  6. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Kinana: Tanzania cannot be allowed to be the new front for terrorists

    Hapa ni kokoto na ngaz tu:-/
  7. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania UKAWA/CHADEMA mripoti hili NEC mara moja, la sivyo mtajuta muda si mrefu

    Nec wameshalitolea majibu
  8. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Aingie mara ngap kwenye madaraka ya Uvccm
  9. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania CCM wametushika pabaya

    Mkuu wewe ni Zuzu,yaani hujui kama Ardhi yote ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ipo chini ya rais?
  10. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania CCM wametushika pabaya

    Mkuu vipi na yale makombora ya Epa, Escrow, Twiga kupanda ndege,wizi wa mitihan kwa January, Mabehewa feki, ATC, madawa ya kulevya,barabara kupunguzwa upana, Nayo ameyalipua
  11. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Mkutano wa Lowassa - Igunga

    Mkuu kwa jinsi ulivyoandika unatakiwa umpe kura yako lowassa ili ufaidi kusoma bila kulipa ada, Maana kama unalipa ada na unaandika hivi :-( dah! Kweli ccm inashabikiwa na wendawazimu
  12. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA kutoka Katavi

    Dah mbona kwenye Tv wameonesha,kwa nin Tcra was deal na watu kama ninyi
  13. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    Kama mlikuwa na huruma nae mbona hamkuacha kuwatuma police kuharibu mikutano yao?
  14. GAS COOKER

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Hasara mtakayoipatata ninyi haitazidi ya Chadema, Hv unajua gharama za kumu accommodate Rais awapo mikoan wewe,Muulize Jk kwa nin anapiga kampen na ni Tsh ngapi kwa siku
Back
Top Bottom