Nafasi ya Mungu ipo, kwakuwa ndiye aliyenipa uhai, na ndiye aliyenipa ajira. Nilitaka kuwajulisha tu sehemu ambazo ajira mpya hupatikana, ila inabidi muwe na moyo maana nilituma cv mpaka basi lakini wakati ulipo fika mambo yametiki. Ahsante Mungu, Ahsante http://jamiiforums.com, Ahsante...