Recent content by Garumondo

  1. G

    JamiiForums Tanzania CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    siwezi kuthibitisha kuwa roasa nifisadi ila malializo nazo na alivyo tumia pesa kuhonga wapiga kura akisaka urais toka ccm hadi ukawa inatisha, naalizipata wapi,kwa biashara ipi, nachoka sana nahuyu mzee angepata urais ingekuwa shida maana asingejali wanyonge hata kidogo matajili ndio wange kula...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Utata juu ya mapato ya CCM Tanzania

    vipi huyu anayehoji mapato ya ccm huyo kachanganyikiwa yeye simwana ccm ndiyo anahoji mapato yake hiyo nisawa nakuhoji mali ya jirani yako katoa wapi wakati wewe huna,
  3. G

    JamiiForums Tanzania Safu mpya ya CCM: Mniombee, nakaribia kuingia Kamati Kuu au Sekretarieti

    tukuombee upate kamati kuu bila kuwa mwanachama wa ccm subutu. he utasubiri sana
  4. G

    JamiiForums Tanzania Natangaza kususia sherehe za uhuru wa Tanganyika zitakazofanyika uwanja wa uhuru , D'Salaam

    wewe sio msomi ni muhuni wa siasa unachanganya uhuru wa nchi yetu na sasa ya chama chako, hivi ukisisia wewe sherehe zinapungukiwa nini?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM inajiandaa na Uchaguzi mdogo Jimbo la Arusha mjini

    jamani uzushi wanini
  6. G

    JamiiForums Tanzania Hofu ya vurugu yatanda Mwanza: Wafanyabiashara wapanga kuchoma makanisa, misikiti na maduka

    wewe mbona mwanza imetulia, wewe unadhani mza ya leo ndiyo mza ya zama zile za wanasiasa uchwala ya kuchochea vurugu
  7. G

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    aaah ni Benard Membe nini?
  8. G

    JamiiForums Tanzania TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    mbona agenda ya kukwama kwa ukuta haipo,
  9. G

    JamiiForums Tanzania Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

    ukiona amepewa dhamana,nenda ukamsihi aache kuropoka ropoka ovyo
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Mlininyima kura za urais, njaa inayowakabili na iwatafune

    tatizo lako ulifanya kampeni kwenye magulio,minada,sitendi zamabasi na daradara, wengi tulizani babu anatangaza biashara furani hivi,.lo! sijui 2020 utakuwa baado unasifa kweli?
  11. G

    JamiiForums Tanzania CCM chukueni hatua ya kumhoji Bashe ili athibitishe tuhuma zake

    unajua bashe kimwili yuko ccm kwasasa alipo hama rafiki yake kwenda upinzani basi kwa sasa yeye siasa alizo nazo niza upinzani sio ccm
Back
Top Bottom