Safu mpya ya CCM: Mniombee, nakaribia kuingia Kamati Kuu au Sekretarieti

Mama anamalizia UWT akalee wajukuu zama zake zimepita! Hakuna wa kuzaa nae tena kwa sasa ile mbinu imepitwa na wakati
Duh hivi yule Mama wa UWT aliyekataa kata kata jina la Laigwanan Mkuu kukata atakuwemo kweli maana sijamsikia miongoni mwa majina ya mabalozi wapya pamoja na kufungua balaozi kadhaa lakini wapi Mama hayumo ?.Huu si uonevu wa kina Mama wanataka 50 / 50 sasa ikiwa wanaume wanateuliwa 15 halafu kina Mama wanne unafikiri hiyo 50 / 50 itafikiwa lini ????.
 
yule bibi mwenye roho mbaya,chuki na wivu (faizafoxy) kumbe hata ajulikani chamani wala kadi yenu ya kijani hana yaani kwa kifupi sio mwanachama hai

akishalamba buku 7 ya kula na familia yake inamtosha
 
Afadhali umeomba wakuombee maana ungechagua mlengo wa albino ingetuumiza sana mkuu, waachwe waishi kama watanzania wengine
 
Moderators, do not be that much...., hawa Jingalao, Lizaboni and Morochini Identiry zao hazijulikani, hata wakiweka mabango mliyoyafuta nobody will identify them. You can not claim defermation when your identity is not known
 
Duh hivi yule Mama wa UWT aliyekataa kata kata jina la Laigwanan Mkuu kukata atakuwemo kweli maana sijamsikia miongoni mwa majina ya mabalozi wapya pamoja na kufungua balaozi kadhaa lakini wapi Mama hayumo ?.Huu si uonevu wa kina Mama wanataka 50 / 50 sasa ikiwa wanaume wanateuliwa 15 halafu kina Mama wanne unafikiri hiyo 50 / 50 itafikiwa lini ????.
Ubunge wake una mtosha
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Huko rafiki yangu hupenyi.Mjomba wasema kweli huko sijui kama utapita.Ngoja ni subiri Ika nakuombea la kheri tu.Nategemea mabadiliko yaendane na nyakati tulizopo.
 
Wewe Unakusudia kufanya nini ukipata nafasi hiyo?
Au viposho ndio kiu yako.
 
Mkuu kama una taarifa za makusanyo ya TRA mwezi November naona unitumie hata kwenye PM maana wewe uko jikoni huko. Je yamepanda au yameshuka? Je Kuna Dangote effect au hakuna? Hebu tujuze mkuu wa jikoni Lumumba
Uchochezi huu sasa
 
Kama hutozingatia katiba na sheria ruxa kupata nafasi ili UTUNYOOSHE, watu waporewapore wanaojiuriza nifanyeje mara tatu tatu hawatakiwi
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Mjomba,vuruvuru hizo utaziweza?Ni bora ukawa mkosoaji huko siku mbili utapigwa chini
 
Mwenyekiti wa CCM Taifa,Rais Dr. John Pombe Magufuli amepuliza tarumbeta chamani. Tarumbeta la mabadiliko. Kutakuwa na mabadiliko kwenye Kamati Kuu na Sekretarieti. Vikao vimeshaitishwa.

Makada waandamizi chamani tumeshatakiwa kuwasilisha CV zetu kufuatia mapendekezo ya muendelezo ya kichama. Kwa upepo ulivyo,umahiri na msimamo wangu,naweza kuchomoza Kamati Kuu au Sekretarieti.

Tunalenga kwa kuringa kufanya mabadiliko yenye mashiko chamani. Mniombee nipenye na kutumikia vyema chama chetu!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Labda utachukua nafasi ya Ole Sendeka
 
Back
Top Bottom