Recent content by gankson

  1. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    ngoja nitume maoni yangu na mm Sent from my Redmi 5 Plus using JamiiForums mobile app
  2. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Siku imeishaa kinyongeee System Admin atakuwa kasahau Flash Moshi... Kipindi cha X-mas
  3. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    mkuu mbn uzi zipo kibao kwann umerudi humu tena kwa Kasi.... Usituchukuliie cc watoto wadogo.. Kukandwa n sehem ya maisha. wewe ni WIZZY. Amna humu ndan mweny mambo ya Status zaid yako. Na tulishayapotezeea. Status hazina uhusiano n Placement.
  4. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aisee uko Bush ukiwa na salary c ndio unakuwa King Mswati. yaan natamn kaz za mikoani kuliko hp Dar
  5. gankson

    Naomba mbinu ya kupokea Matokeo ya usaili wa mchujo Utumishi

    Mimi nimeanza Muona 2022.. sasa kuna ubaya gan
  6. gankson

    Tovuti ya Utumishi ni majonzi hakuna post hata moja

    Mwez wa 6 na wa 7 kazi ilijazana na hakutooa hongera,yeyote
  7. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dalili za PDF naona kma mpk Jan 3
  8. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    sasa MNH kuchelewa kwenu haihusiani kuwa taasisi nyengine zisitokeee km zina uhitajii
  9. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    taasisi zenye Scale ya PGSS [emoji28][emoji28][emoji28]
  10. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    WorldCup immeisha System Admin afanye kitu... Placement section imepoooza wakat sio kawaida
  11. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kama anaye upload PDF n shabiki wa Messi [emoji28][emoji28][emoji28] tutegemee makubwa leo au keshoo
  12. gankson

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    zile back to back za PDF ya Placement kweny website hatuzioni tnaa [emoji28][emoji28][emoji28] nilijuuua mwez huu mkeka ninao subiri unaachiwa. kwaa huu ukimya nisubiri January.. maana kuna sikuuuuu hapo mbele lazima watumishi wapumzikeeee
Back
Top Bottom