HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
zile back to back za PDF ya Placement kweny website hatuzioni tnaa [emoji28][emoji28][emoji28]
nilijuuua mwez huu mkeka ninao subiri unaachiwa.
kwaa huu ukimya nisubiri January..
maana kuna sikuuuuu hapo mbele lazima watumishi wapumzikeeee
Inaweza ikawa hivyo ila ngoja tusubiri kuanzia kesho wanaweza kutoa pdf ya kufungia mwaka
 
Mkuu Mwifwa naomba utuwekee hapa mchanganuo wa marks za maswali ya Oral.. maana Huwa yanakuwa matano, nataka kufahamu kama yanafanana alama au vp..? maana utakuta Kuna swali unaulizwa wanataka points 5, lingine wanataka 3 na lingine unaweza kuulizwa definition au explain kitu Fulani.
Pia Jumla ya marks za Oral zinakuwa ngapi..?
We unapitiatia sana miongozo Yao bila shaka utanitoa tongotongo hapa.
 
Wacha nikae mkao wa kushiba hapa.
 
Nipo hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sijui ata nisemeje. Imagine swali la hesabu ndo nlifundishwa jana na ndo nlikuwa na idea nalo the rest malaika wa zamu atatenda muujiza[emoji23]
Hongera, usijali utatoboa, Muumba atatenda miujiza.

Imagine uvutwe TRA, PGO utamuachia nani ainyumbue[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom