Recent content by ganjaone

  1. G

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    tutawagawana hawa mwakani
  2. G

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera: Meno ya tembo yalisafirishwa ndani ya ndege ya Rais wa China! nchini Tanzania

    mwendo w sindano za moto mkande makalio..bora nichague jiwe sio ccm
  3. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Mh. Mbowe Igunga 6/11/2014

    delete kabisa ccm..haitakiwi uku kitaa
  4. G

    JamiiForums Tanzania CCM imejiweka pabaya sana.kwa wchinjaji tunasema imeelekea kibra

    laki si pesa;Kama ni mgeni basi umekosea njia , huku hamna wala ganja wenzako jibu kw hoja..nashukuru umeprove hapa kuwa ccm imeishiwa hoja kwa kujaribu kuleta mada za ganja..leta jibu zuri au na ww umeshaelekea kibra?kula za uso
  5. G

    JamiiForums Tanzania CCM imejiweka pabaya sana.kwa wchinjaji tunasema imeelekea kibra

    mm mgeni humu wajameni ila nimefuatilia bunge leo nimegundua kuwa chama cha mapinduzi kimejiweka pahala pabaya sana. kuna skendo kibao zinakisonga hiki chama na kibaya zaidi watu wanatoa hoja za kuibana serikali ya ccm ambazo ni wazi kila mtu anajua. suala la michango y maabara.iptl.msd.wizi...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nassari aamua kugawa mashamba Arumeru, Polisi washindwa kuzuia zoezi

    acha wagawane tuuuuuu.bado migodi
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nassari aamua kugawa mashamba Arumeru, Polisi washindwa kuzuia zoezi

    acha wagawane tuuuuuu.bado migodi
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini abiria wa Mabasi tunanyanyasika hivi?

    binafsi nakerwa sana na hii tabia ya wamiliki wa mabasi haswa mikoani.abiria mnalipa nauli halali kabisa ila inapotokea gari limeharibika njiani siku zote abiria tunanyanyasika sana.wahusika wanakuwa na majibu ya hovyo na kutoa taarifa za uongo bila kujali kuwa kila mtu anajali shughuri zake na...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    niwekee majina ya herufi M mkuu.kwa post ya afisa utumishi
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akishakupata baada ya muda mfupi upendo wote wa awali huisha

    kuna watu hatuwezi kumaintain mapenz hata kw mwez m1 tu.hii ipo unakuwa ni mtu wa kutamani tu sio kupenda na tunatumia mbinu nyingi sana kujustify matendo yetu.
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ulimbukeni kulilia uaminifu katika mahusiano ya kimapenzi

    hahahahaha
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wangu amenitenda je nifanyeje?

    ni kawaida kuachana na kurudiana ktk mahusiano so km una malengo nae mrudie tu.
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    ni jambo ambalo linakufanya ukitaka kumgegeda unafikiria vitu vingi.na ukimwambia ananuna ila cdhan km wanashindwa kujicontrol.
  14. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    tofautisha miguno ya kawaida na kelele nazozungumzia.ni aibu hata kutoka nje afu nyumba zenyewe za kupanga.
  15. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    kelele zingine sio unalazimika kufungulia sabufa hata kama ni usiku..mtu ana makelele mpaka walio nje wanapata aibu wanakaa mbali kabisa
Back
Top Bottom