binafsi nakerwa sana na hii tabia ya wamiliki wa mabasi haswa mikoani.abiria mnalipa nauli halali kabisa ila inapotokea gari limeharibika njiani siku zote abiria tunanyanyasika sana.wahusika wanakuwa na majibu ya hovyo na kutoa taarifa za uongo bila kujali kuwa kila mtu anajali shughuri zake na wakati.
kwanini gari linapoharibika hawa watu hawataki kurudisha kiasi flani cha nauli ili pande zote zipate haki?mnashindwa kuwatafutia watu usafiri mbadala basi rudisheni kiasi cha nauli ili kufidia safari iliyobaki kwa kila abiria.kwanini sisi wasafiri ndio tuingie hasara kila siku?maisha magumu na nyinyi mnazidi kutukandamiza.kuna umuhimu wa kuwa na sheria ya kuwalinda maslahi ya wasafiri.BASI LA ALLY'S urambo to mwanza mlichotufanyia jana hakifai kuigwa.