Recent content by ganjaH

  1. ganjaH

    Wananchi mkoani Arusha waandamana kupinga Ushoga

    binafsi naona km dunia kwa ujumla haijatakaga kupiga vita hili suala hata kdg isipokua wanaliendeleza kwa hatua ndog ndog mpk apo baadae litakuja kuchukuliwa n suala la kawida tu.. sitaki kuamin kwmba tatizo n ushoga km ambvyo dunia inapga vita na kulikemea hilo suala, ila naamin kwmb ttzo...
  2. ganjaH

    Dar; Mwanaume ajiua kwa kujirusha kutoka gorofani

    huenda ikawa n nyie wanaume mnatoka mikoan kuja dar, mnakutana na changamoto kdg tu mnajidedisha kabisa lkn lawama znakuja kwa sie bon tawa.. lait ingekua n tabia ya wanaume wa dar especially wa born here here, basi ingekua dar hakunaga wanaume mpk sasa,
  3. ganjaH

    Kwa walioko kwenye ndoa tu (kama hujaoa usifungue)

    kwhy apo tatzo lako ilkua n ww kuombwa hela ambzo hukuwa nazo ama hukuweza kukidhi..? ama n ww kushindwa kumridhisha mkeo kwa kisingizio cha stress na wakat hizo stress unadai ziliondoka indirectly baada ya kupewa dawa,.. na obvious kabisa hata ttzo lako basi hukulijua ofsa..
  4. ganjaH

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    no 10 tafadhali,
  5. ganjaH

    Hatimaye nipo huru

    bless saana aise. ndo nmemaliza kuparangana na hi uzi since day juzi yani.. hakika mnastahili pongez na ingebid hata malipo bablai.
  6. ganjaH

    Mtoto wangu ananishangaza

    huenda kongole inabid iende kwa baba yake mana atakua karithi uko since kwko inaonekana ni miujiza hio..
Back
Top Bottom