Dar; Mwanaume ajiua kwa kujirusha kutoka gorofani

Dar; Mwanaume ajiua kwa kujirusha kutoka gorofani

Wanaume wa Dar mna mioyo myepesi sana. Unajiuaje?[emoji848][emoji848]
huenda ikawa n nyie wanaume mnatoka mikoan kuja dar, mnakutana na changamoto kdg tu mnajidedisha kabisa lkn lawama znakuja kwa sie bon tawa..

lait ingekua n tabia ya wanaume wa dar especially wa born here here, basi ingekua dar hakunaga wanaume mpk sasa,
 
Habari za weekend.

Mwanaume wa Dar amejiua baada ya Kujirusha Kutoka gorofa ya 3 Hadi chini na hivyo kupoteza maisha,Polisi wa Dsm wamethibitisha.


......asilimia kubwa hapo source ni madeni, hukawii kusikia ni mfanyabiashara mkubwa anadaiwa zaidi ya mil 100, wanataka kumfilisi....
 
[emoji116]
IMG_20230310_122328.jpg
 
Bila shaka ni mapenzi yamemuua
Kataa Ndoa
Jali afya yako
 
SIO KILA ANAEJIUA NI MAPENZI SIPO SABABU NYINGI ZINAZOSABABISHA MTU AJIUE WATANZANIA PUNGUZENI UFARA NA UVIVU WA KUJIFUNZA...JIFUNZENI WALAU KIDOGO ELIMU YA AFYA YA AKILI...
 
Rest easy Man
Depression ni tatizo
Natamani mngekua mnawaona hawa wagonjwa mngeelewa mwingine anajiua ilhali hata yeye hakutaka kujiua
(You feel something within kinakwambia kwa hapa kujiua ndio solution) unatamani uizuie unashindwa..
wajanja huwahi hospital
 
Back
Top Bottom