Recent content by ganda

  1. G

    JamiiForums Tanzania CCM inapoteza mvuto kwa kasi chini ya mwenyekiti mpya wa chama.

    ni majanga tu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kumfananisha Rais Magufuli na JK Nyerere ni uwendawazimu

    kuwalinganisha ni kumkashifu na kumdharau Baba wa taifa. kitu kimoja tu - busara na uwezo wa kusoma alama za nyakati. hawa wawili ni sawa na mbinngu na nchi.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Kwanini Hujamkataza Mwakilishi Wa Sikonge Kufanya Siasa Nzega Wakati Umekataza?

    bado tuna safari ndefu. hasa ukijua kuwa chama ni kilekile hakiwezi kuwa na jipya. tunavyokwenda ni sawa na mtu ageukie kulia,kushoto, nyuma na mbele, lakini mtu ni yuleyule. ila sisi tunaona ndiyo mabadiliko
  4. G

    JamiiForums Tanzania Magufuli kabla hujalala kwa ziara ya Kahama soma hapa.

    anajali wanyonge akiwa majukwaani. lakini huko mliko mlie tu, mtafikiwa watakapomaliza kuvuna madini.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Taarifa kutoka JWTZ kuhusu Jenerali Davis Mwamunyange

    Ziara ndefu kweli.
  6. G

    JamiiForums Tanzania CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

    Ataridhi mtoto aliyezaliwa mwaka jana kama atakuwa hai baada ya Oct 25.
  7. G

    JamiiForums Tanzania CCM ikifa zile mali zitakuwa za nani?

    Wanchekesha weye!
  8. G

    JamiiForums Tanzania GE2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    Ni majanga ya organic chemistry na phd ya uraka
  9. G

    JamiiForums Tanzania Viko wapi vichwa hivi?

    Ni wachache sana wapo ndani ya serkali, lakini hawana sauti. wengi wapo nje ya serkali. Na kwa TZ huwa akili ndogo hutawala akili kubwa
  10. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Ndivyo ilivyo kiburi cha uzima, madaraka na fedha. Mungu anakuwa kama toi wanageuka kuwa miungu wenyewe.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete azungumzia kauli za Magufuli kuikosoa Serikali

    Inabidi lazima aisamakame serkali ya JK & BM. Bila ya kufanya hivyo hakuna mazuri ya kuyapigia debe kutoka serikali hizo mbili. Ndiyo maaana anazungumza mambo ya barabara tu ambayo alikuwa mhusika. Mengine hakuna. JK analijua hilo ndiyo maana anakubali akosolewe ndiyo njia pekee kwa JP kupata...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wajanja waanza kushuka kimyakimya bus la CCM

    mabadiliko yanayosewa ccm ni sawa na nyoka kujivua gamba lakini anabaki ni nyoka tu.
  13. G

    JamiiForums Tanzania CCM wameviua viwanda vyetu, Magufuli hana uwezo wa kuvifufua

    Ccm ishukuru sana Chadema a kuandika ilani ya 2010. maana ndiyo anayotumia makufuli kwa sasa. La sivyo hawakuwa na kitu cha kuwaeleza watanzania.
  14. G

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  15. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaizuia Malawi kuchoma moto tani mbili na nusu za Pembe za ndovu

    Ukubwa wa pua siyo wingi wa makamasi
Back
Top Bottom