Recent content by ganda la mua la jana

  1. G

    Hivi ni kwa nini UKAWA wanaogopa Lowasa Kushiriki midahalo?

    Ukitaka mdahalo awe Magufuli na Lowasa sio Lowasa na Sita. Sita hana hadhi ya kujadili na Lowasa kwa sasa. Ulishawahi kuona wapi mdahalo wa mgombea ubunge kwa mgombea urais? Mgombea ubunge kwa mbunge. Urais kwa Urais.
  2. G

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Hivi kumbe Mpanjua aliingia kwenye bunge la katiba kama mwana ccm sio muakilishi wa makundi maalum?? Leo ndio nimejua
  3. G

    Hapa Lowassa ataweza kweli!

    Hivi EL akiwa rais Lembeli , Bulaya na wengine waliotoka ccm wawe wabunge. Nchi itakuwa inaongozwa na ccm B au ukawa??. Wajumbe mnasemaje ni mtazamo tu
  4. G

    Hapa Lowassa ataweza kweli!

    Hivi kumfanya Lowassa kwa kipindi kifupi kuendana na mfumo wa CHADEMA na UKAWA. Mfumo ambao hata UKAWA wenyewe bado unawasumbua. Akipewa nchi katika hali hiyo ataweza kubadilisha chochote au atakuwa bora liende? Nawaza kwa sauti tu wapendwa, naomba mnisaidie kuwaza please.
  5. G

    Picha: Huyu ni nyoka wa aina gani? Nimemuua hapa home

    Huyo ni nyoka anaeitwa msanga. Tabia yake ni kuishi kwenye maeneo ya mchanga na huwa wanakaa wengi kwenye shimo moja. Sio nyoka mkorofi ila ukimchokoza anaweza kukudhuru. Ukimuua mmoja usilidhike kuwa umemaliza tafuta shimo lake maana hukaa shimoni ,Utakutana na wengine tu.
  6. G

    Vitu mwanaume anavyotakiwa kuwa ameshavifanya akifikia miaka 30

    1)Kuokoka maana yake kumuamini Yesu kuwa na kutubu dhambi zako zote ili kusamehe. Yohana 1:12 biblia inasema wote walio mpokea aliwapa uwezo wa kufanyika wana wa Mungu. So kuokoka ni kufanywa mwana wa Mungu. 2) Inawezekana kuokoka ukiwa ukiwa dunia. Biblia inasema baada ya kifo ni hukumu. Hivyo...
  7. G

    Mrisho Mpoto: Watanzania, Safari imenishinda, nauli zenu nitarudisha!

    Hana jipya Mpoto, amesifiwa kidogo tu Ikulu anataka kurudisha nauli. Akipewa jimbo si atatuuza huyo?????
  8. G

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Police nao watoe taarifa yao ya kuumwa kwa Gwajima gafla. Waseme nini kilitokea.
  9. G

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Nijambo jema kusimamia ukweli na maamuzi ya kishujaa.
  10. G

    Profesa Ibrahim Lipumba amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospitali

    Mengi na mengine hata sio ya kutamani. Wengi wata tajilika pia. Na wengine kuwa maskini
  11. G

    Profesa Ibrahim Lipumba amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospitali

    Gwajima is my bishop. Nitatakaje. Nilikuwa kijijini nikatumiwa WhatsApp nimerudi fasta mjini. Wadau msiwe wa kuropoka mtu akitaka kupewa taarifa plz.
  12. G

    Profesa Ibrahim Lipumba amemtembelea Askofu Josephat Gwajima aliyelazwa TMJ Hospitali

    Nimetumiwa sms leo mchana ikisema Askofu Gwajima amefariki. Je huu ni uzushi? Mbona prof ameenda kumuona na mzima. Watu bwana wanataka nini lakini
  13. G

    What a Kind of Country is this?

    Sasa vipi amebadilika au porojo tu?
Back
Top Bottom