Recent content by gambus timamy

  1. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    nadhani mamlaka zina kawaida ya kupuuza baadhi ya taarifa hususan zile ambazo zinazotaka ufuatiliaji na uwajibikaji wa haja.
  2. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Natamani nikaishi mbali sehemu ambayo sifahamiki na mtu yoyote

    ila biggie we jau sana,,,!!!
  3. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Freeman Mbowe ndiye aliahidiwa kupewa Ubunge wa kuteuliwa ili CHADEMA isimsumbue Rais Samia?

    Kwa kweli TANZANIA hamna upinzani ulio wa kweli (serious)
  4. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Iko hivi GPA haiokotwi ni inatafutwa kwa jitihada kubwa, kwa maono ya nje na ya kawaida maamuzi ya waajiri yanaweza kuwa mazuri, lakini critically hatuwezi kuamini kuwa GPA inabeba uhalisia wa utendaji kazi wa asilimia zote za muajiriwa, ila wakipata wamepata kwa sababu no good comes easier!!!
  5. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    hataki kuolewa kwa sababu ana uhakika yupo na wewe unamfuga huku akitafuta mtu wa ndoto zake.
  6. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Akili za kuambiwa, changanya na zako......!!! Hongera sana, maana kuna wajinga na wapumbavu wameamini pumba zako.
  7. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Visa vyangu vya mapenzi: Harakati za kusaka mume

    Ni heri uwe na mimi tu, hutapata taabu na hautaishi na mawazo.
  8. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    MAMA ANATOSHA KUTUONGOZA NA KULIONGOZA TAIFA.
  9. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Ni benki gani yenye huduma nzuri Tanzania?

    ZOTE TU KIKUBWA NI WEWE NA MAPENDELEO YAKO!
  10. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukimeza punje za vitunguu swaum mwili unaanza kuleta ghasia?

    nielekeze vizuri sehemu inayoishi nije kukutibia ili hizo ghasia ziondoke!
  11. gambus timamy

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kutamkiwa neno gani baya na Mwalimu wako?

    Mengi sana ila kwa uchache. Mwalimu wa fizikia kidato cha 2-4 Baada ya matokeo ya mtihani wa taifa wa kidato cha pili aliniponda mbele ya walimu wenzake kuwa. "amebahatisha tu huyo hana akili ya kupata distinction" Ashukuriwe Mungu aliye juu, miaka miwili iliyopita nimefanikiwa kumaliza...
Back
Top Bottom