Recent content by Gamboshi one

  1. G

    Vijana 11 wakamatwa Mtwara wakiwa na Silaha za Kivita na CD za Al-Shabaab!

    Acheni kurufanya kama sis ni mamburula mipango hiyo wanyo fanya ni ya kizamani tumeshituka serikali na ccm inataka kuwaaminisha wananchi kuwa mtwara kuna alikaida hivo waweke ulinzi wa kutosha wawadhibiti wananchi wa mtwara ili gesi itoke kiraini, hiyo ni mipango ya watu wachache wanaofaidika na...
  2. G

    Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Hayo mafundisho ya mashetani ni yepi?'
  3. G

    Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Hayo mafundisho ya mashetani ni yepi?
  4. G

    Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

    Nina swali kwako mkuu! Huu walaka wa Paul kwa Timothy ulikua na maana gani na kwanini Paul aliandika hivo? Tukishajua nini kilijiri wakati ule mpaks Paul akaandika hivo basi uhalali wa kula vyakula tu kama ulivoyaandika hayo mafungu haupo!
  5. G

    KINANA: Sina nywele kichwani kwa sababu ya kufikiria matatizo ya Watanzania

    Ucimkataze mkuu mi nimemuelewa halali na nywele hazioti kwa sabab ya kufikiria watanzania wanaojua siri zake za meno ya ndovu na wale wanao mfatilia na alisema atawashitaki lkn kaingia mitini labda atumbie atenda lini mahakamn?
  6. G

    Kifo cha CCM kimetimia

    Ni kweli hawa maccm hawana jipya na wasifikiri watanzania ni mamburula, wamejisahau sana ila wataona tutakavowafanya 2015, katiba hii wajue kabisa c o ya kwao ni ya watanzania na safari hii hatutaki ulaghai wowote utaofanywa na maccm.
  7. G

    Sikujua kwa nini vijana wengi wanaichukia ccm.

    Sipendi nionge mengi ila bwana Ham ccm kaa ukijua hao vijana mnaowapata ni mnawapa vijihera vyenu vya EPA na mamilion ya vijana hawataki hata kusikia ccm na wazee mnaowategemea kwenye kura ndio wanazidi kuisha cjui nan atawapigia kura kama labda mtumie wizi wenu wa kura
  8. G

    Picha:Mwigulu aagwa kwa shangwe San Francisco,kutua Chicago leo

    Ni kweli kabisa mwigulu kwenda marekani haitusaidii mambo ya kijinga msiwe mnatuandikia sisi mtujulisha ili iweje who is mwigulu by the way. Don' tell us those fukin' shits.
Back
Top Bottom