Recent content by gambosh1972

  1. G

    JamiiForums Tanzania UTEUZI WA IGP-RAIS AMEVUNJA KATIBA; Hakuna Naibu IGP kwenye Katiba

    Vyeo hivi vya upendeleo siyo vyeo hizi.Sawa ndugu
  2. G

    JamiiForums Tanzania Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    Labda itokee.mzee wa arachuga,msuba,ngwaya,stiki au majani akifanikiwa ubunge nina mwaga kimba njia nzima kutoka Dar hadi chalinze kwa jinsi ninavyomfahamu Abood.
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uume kupinda (Peyronie’s Disease): Fahamu chanzo na namna ya kutatua tatizo hili

    Fanya hivi nenda gereji kauchomee nondo.ok?
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Mdudu makabila!!!¡!!!!?;)
  5. G

    JamiiForums Tanzania world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Ww FREDAWO acha kutudanganya.mbona kuanzia pale soko la Muthurwa,country bus station ukipita polisi kamukunji zunguka coast bus eneo lote la Ngara na kushuka river road ni pa hovyo sana na hata lile soko la kariokoo maji ya vinyesi yanatiririka hovyo tena juu?Dah Nairobi eneo hilo ni pachafu sana.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Siyo makabira ni makabila.Sawa?
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Tusibishane ni wadengereko.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Mmmh nimesahau ni waadzabe jamani.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Nimesahau ni wasomali.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Ni makabila gani hapa tanzania yanaongoza kwa elimu ya juu.

    Wamang'ti.Bisha nikuone ohoooo!
  11. G

    JamiiForums Tanzania Bangi msamvu ni kama chakula.

    Haire haire arachuga,suba,ganja inawaumiza vijana wetu.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Bangi msamvu ni kama chakula.

    Vp ww?Kwa hiyo wanajitibu masikio ktk vijiwe hivyo?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Bangi msamvu ni kama chakula.

    Jamani ni aibu sana hata sijui niseme nini kuiona taifa la kesho likiangamia na madawa ya kulevya aina ya bangi na hata kile kifaa cha bakhresa(sembe) masaa 24 na wala hawabugudhiwi na chombo chochote cha usalama kwa raia.Nashindwa kuelewa mfano polisi wanashindwa vipi kuyatawanya haya makundi...
  14. G

    JamiiForums Tanzania world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Hayo mabanda hayaishi binadamu munatuchanganya humu na hayo maji au mifereji utayavuka vipi?
Back
Top Bottom