Ninawaulizeni hivi mbona likija sawala la kenya na Tanzania ni lazima malumbano?Hivi hakuna hata siku watu wakapongezana vizuri,kwa kuheshimian n.k.Au mababu zetu walinyang'anyana mademu?changieni mada za amani,upendo na hata ya kibiashara.Nazani wote ni wamoja na tunategemeana.musijidanganye...
Magari ya abiria na mizigo yamekwama ktk eneo la signal kutokana na mvua iliyonyesha jana usiku baada ya mkandarasi kushindwa kusambaza vifusi vilovyomwagwa pembezoni mwa barabara hiyo takriban mwezi sasa hivi.Uongozi wa mkoa ujaribu kumfuatilia huyo mkandarasi maana watumiaji wa barabara hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.