Recent content by gambalakobe

  1. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania "Hoia" Forest Msitu wa kutisha.

    Msitu huu Unapatikana Katika Mji wa Cluj-Napoca Kaskazini Magharibi mwa Romania, Una Ukubwa wa Ekari 729 na Ndio Msitu Nambari Moja Hatari Duniani Watu Kupotelea Humo. Inaelezwa Miaka ya Nyuma ilikuwa Hakuna Mtu yeyote Aliyewahi ingia katika Msitu huu Akatoka.. Kuna Viumbe wa Ajabu Wasio na...
  2. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya mnyumbuliko maizi kizani ni tofauti na uhalisia nuruni

    Unaona mbali Sana Big Up Sent using Jamii Forums mobile app
  3. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Matibabu ya matatizo ya akili pata suruisho lako sasa

    Picha inajieleza kwa maswali piga hiyo namba
  4. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

    Swali mkuu, hili jina lilith lilitungwa lilibuniwa ama vip kwann waite hilo jina? kwann wasingelisema kuwa kulikuwa na roho iliyokuwa ikibadilika mara Mw/damu mara roho kwann Lilith? Nikweli stori inaonyesha kulikuwa na mtu hapo awali sawa lakini jina Lilith lilitoka wapiii?
  5. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Giza: Chale za kichawi ni minara ya mawasiliano..

    Nahitaji kzito hizi chale nioge dawa gani? #mshana jr plz acle msaada
  6. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga (CCM) ahoji Bibi kuvaa wigi kwenye Nembo ya Taifa

    Bibi kavaa mtandio bwana kavaa sketi
  7. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya hisia ya sita.

    Usiisahau kuwa kuna neema,maana nguvu hii imetajwa kama maarifa,Mungu anasema watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa,na maarifa hayo ni hiyo nguvu ya hisia ya sita. Pia Biblia inasema mnauwezo wa kufanya kila kitu hata kufufua wafu,kuamisha milima nk biblia inatambua nguvu hii km unamwamin...
  8. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya hisia ya sita.

    Usipotuliza akili utajikuta unachanganya mambo kwani uchawi na hisia ya sita vitu viwili tofauti,kwani uchawi ni nguvu za Giza hilali hisia ya sita ni uwezo wako binafsi wakibinadamu
  9. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya hisia ya sita.

    Mkuu, kwa Dawa unayotumia haina chochote isipokuwa uwezo ulionao ndio ufanyao kazi ya namna hii uishuhudiayo chunguza utaelewa punguza papara
  10. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya hisia ya sita.

    Laiti kama ungefahamu hisia ya sita inanguvu kubwa katika mwili wako kukuwezesha kufanya mambo makubwa hata mashetani yakakuogopa. Unaweza kumshawishi mtu kitu bila kuongea naye chochote kwa kutumia hisia ya sita akahafikiana na wewe, eg.kumtaka mtu akupe fedha bila ridhaa yake,kumtaka msichana...
  11. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

    Nitaweka mkuu.ushari mzuri
  12. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

    Nilifanya abbreviation lakini in full Kimberlite
  13. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

  14. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

    Mkuu,liko sawa ingia Google utaelewa maana yake
  15. gambalakobe

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa Chorus,Bridges.Higher note.

    Upo sahihi kabisa mkuu, Mimi kidogo nimebahatika kusomea vocal chord building kwahiyo nilichokisema nakielewa vema.
Back
Top Bottom