Recent content by gamba2000

  1. G

    Rupia: Hazina ya Mjerumani

    Utapeli wa mwaka Arubaini na mbili ....
  2. G

    Msaada

    Ni gari zuri, mimi ninalo mwaka wa tatu sasa halina shida.
  3. G

    Mufti Simba wa BAKWATA na Shekh wake Alhadi wanacho cha kujifunza

    Kadinali Pengo hakushitaki popote... usiseme uongo...
  4. G

    Vodacom wamenipora 50,000

    Vodacom you people are thieves. Bado ninahasira na nyie ... niliweka sh. 10,000 muda wa maongezi, nikatumia sh. 900 ( mia tisa tu ) baada ya siku 2 kucheki salio naambiwa ni sh. 0. Kupiga customer care naambiwa eti ilitumika kwenye data! Ilitumikaje kwenye data wakati cmu yenyewe haina uwezo...
  5. G

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom ni wezi kweli kweli. ... niliweka muda wa maongezi wa Tsh. 10,000 nikatumi Tsh. 1,800 baada ya siku 2 balance yangu ikawa Tsh. 0. Nilipowauliza nikaambiwa kwamba hela nyingine imetumika kwenye data na internet wakati ninapoishi hakuna access ya internet na simu nime diactivate data and...
  6. G

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Huyu 'Sender: Nipashe' kanitumia hiyo breaking news na karudia kanitumia mara 4..! Mimi sikujiunga na huduma hii na kweli ukijiondoa inagoma, au Vodacom nao wameanza!!
  7. G

    Wanawatapeli wanaotafuta kazi

    Unapotoa taarifa kama hii, nia na maksudi ni kuwawaonya wenzio kwamba kuna hawa matapeli wasije wakatapeliwa… tuache ushabiki, if it happens to you, you would understand how it feels…
  8. G

    Wanawatapeli wanaotafuta kazi

    Kuna hawa jamaa Matapeli wamejitangaza kama Employers kwenye hii website ya 3Wjobs.com kwa kutumia jina la Kampuni moja maarufu inayochimba madini hapa nchini. Kuna nafasi za kazi zimetangazwa pale na utatakiwa kutuma CV yako kwenye hii website na hawa matapeli watajulishwa na hii website...
Back
Top Bottom