Suala la kuzuiwa kusafirisha mchanga wa madini nje.
Je, hiyo hasara wanayotangaza sasa baada ya kuzuiliwa, inaendana na faida waliyokuwa wanatangaza awali wakati wanaruhusiwa ?
Naomba jibu.
Tatizo la JF mambo ya msingi na muhimu yanayowagusa mojakwamoja wananchi wanaunganisha topic.
Hii ni ngumu kwa wahusika kuona.
Mbona hamuunganishi topic za Chadema, au CCM, ikawa ni topic moja, kila habari ya CCM mnatupia humo ?
Mambo muhimu ndio mnaunganisha na kupoteza fursa ya utatuzi...
Hali ni mbaya sana.
Serikali iachie fedha kwa kulipa madeni ya wafanyakazi, kupunguza kodi ambazo sasa zinalipwa(zamani zilikwepwa), na ikibidi kuanzisha benki maalum ya wakulima na wajasiriamali
Matatizo ya msingi yapo, lakini hayamaanishi kushindwa bali ni changamoto.
Yatatuliwe ili kuboresha huduma.
Mabasi yamekuwa machache kiasi cha abiria kugombea kupanda, lakini pia ukatishaji tiketi upo slow sana.
Lingine la msingi ni LOOPHOLE. Kuna loophole ya mtu kuzunguka na hayo mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.