"Huwezi kuamininika na CCM wenye akili unaposema kuwa wapinzani wote ni matapeli, maana , hawaamini hivyo, na wana kila sababu ya kukutilia mashaka kuwa kesho ukihama tena utasema CCM wote ni matapeli, na wapinzani wenye akili hawatakuamini, kwa vile hawaamini hivyo."- Maggid.