Recent content by gamaya

  1. G

    Sijawahi kuona kitu kama hiki

    Jamani ata huyo malkia elizabeth anafanyiwa ivi kweliii?? Kwani huyo salma anaonekana yuko happy kabisaaaaa wakati ni aibu!!
  2. G

    Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

    Huu ni umbea akuna cha personal attack we ungehoj icho chanzo chako kikwambie hai mh wetu kaaribu nini adi aende mosh mjini....... huuu ni umbea liiiiiiiiive bila chenga
  3. G

    Dhambi ya kuwabagua Watanzania inawaunganisha waliokuwa mahasimu wa kisiasa

    Mleta mada je hujui kuwa siasa mchezo mchafu,, akuna kupendana daima na wala akuna kuchukiana daima wa la ajabu apo nini manake apo awako kwenye mambo ya siasa za vyama ni kikatiba zaidi ili tupate kilicho bora angalia jinsi bunge now days lilivyokosa mvuto,,,, me i think wako so rite
  4. G

    Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    Jamani yale si maonu yya warioba wacheni mzee wa watu tena msraarabu kuliko si msema hovyo wala ata hakurupuki,,tunapomkosoa basi iwe kiustaarabu coz ata yeye ni binadam imsi malaika,,,,
  5. G

    Asha Bakari hakuwa na haki ya kumtukana Jussa, hebu msikilize, Zanzibar anateta Dodoma anaufyata!

    Umesema kweli gogo ila lazma uwe makini utu uzima niheshesha yako kiukweli lile jimama hovyooooooooooooo nadhani hajitambuiii
  6. G

    Zitto Kabwe ampiga 'kijembe' Tundu Lissu kuhusu hoja za hati ya Muungano.

    Mtoa mada design kama mbeambea vile leta mada zenye tija coz muungano unazungumziwa na watu wooote not only lisso na kama unadai zitto alimpiga lisso dongo basi angebaki ndani ila kama ulivyomsikia yeye mwenyewe aliujadili muungano tena kwa uzuri than anybody next time jpange ukiwa huna mada we...
  7. G

    Ukawa; saa 2 siyo sawa na siku 70, huo ni umbea tu!

    Wewe tanzania kwanza imesajiliwa wapi? Huenda ata hujui ukawa ninini?
  8. G

    Baada ya UKAWA kutoka nje,umeona tofauti ipi Bungeni ?

    Tofauti ipo kubwa saaana,tujue walio taja katiba mpya ni hawa wapinzani hao tz kwanza hawakutaka ata kuskia icho kitu leo hii ndo wenye kututengenezea katiba ivi twategemea nini? ?let us wake up na tuwe wise .
  9. G

    James Mbatia huna shukrani

    Hongera mh mbatia kwa ujasiri, jamani hatuez fanana wooote kila mtu anapenda akipendacho na kuamini anachokiamini,wakati anateuliwa sidhani kama alipewa condition kwamva ccm watachotaka lazma na wewe utake na kama aliambiwa ivyo akakubali na leo kaeemnda agaist basi kakosa shukran bt kama ulikua...
  10. G

    Mwalimu Nyerere ametukanwaje hasa?

    Nadhani kwa mtu mwenye akili timamu anajua kua tanzania iko huru kwa juhudi za mwlm nyerere,nanikweli kafanya mengi mazuri sana sana ila sidhani kama hakuwahi danganya au kukosea sababu sifa kuu ya mwanadam mapungufu as we know no body is perfect,,anaetukanwa ni mzee warioba na si nyerere tuache...
  11. G

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

    Maccm yamebaki yameshika tama tuu. Makamu mwenyekiti kavurugwa na hali iliyotokea. Wamebaki wanajijambia tuu humo ndani. Yakome kulazimisha mambo na kufifisha mawazo ya wananchi.
  12. G

    Hotuba ipi imekusisimua?

    Juma duni, kafulila, lipumba, lissu, jussa, mbowe, mbatia, wenje, vicent nyerere, msigwa, mnyaa na makaidi
  13. G

    Hapa Warioba na Tume Yake Walichemka, Ni Juu ya Mambo ya Muungano!!

    Kuwa muelewa ndugu. Rasimu ni ya tume na si ya warioba pekee, kusema hivyo ni kuwanyanyapaa wajumbe wengine wa tume. Kuwa mwenyekiti wa kamati au tume fulani hakumaanishi kuwa yatakayokuwepo kwenye taarifa yote ni yako mwenyekiti. Mbona kama elimu yako ndogo uliyoipata haikusaidii? Prif. Mahalu...
  14. G

    Watanganyika na wazanzibari tuchukue maamuzi haya mazito

    Magamba yana shida! Mlimshinikiza jk akateua wajumbe weengi wa tume ambao ni makada wa ccm, makada wenzenu wamewaletea rasimu hamuitaki! Wavueni basi uanachama hao wana ccm wenzenu waliokuwa kwenye tume maana wamewasikiliza wananchi badala ya chama. Kuanzia mwenyekiti wa ccm wa taifa hadi wa...
  15. G

    Revocatus Babeiya: Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Missenye na Mwalimu wa Shule ya Serikali!

    Jamani mbona watu Wa aina hiyo toka Ccm wamejaa tele kila mkoa au kila Wilaya huwezi kumkosa mtu wa hivyo. Huku Mbeya mwenyekiti Wa uvccm Wilaya ya Ileje bwn. Mwenisongole ni mwalimu Wa shule ya sekondari busokelo Wilaya ya rungwe na kwa sasa anahamishiwa kikazi hukohuko wilaya ya ileje
Back
Top Bottom