Recent content by Gamawechi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufukuzwa kwa watu/kwa ndugu tukumbushiane ilikuwaje

    Nikikua likizo kwa ndugu sasa bahati mbaya siku nikasahau sijui ndo kupitiwa sikumsalimia asubuhi akanambia niondoke kwake yaan nilishangaa sana. Na siku zote nlikua namsalimia
  2. G

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Hahaaha Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    TAWIRE
  4. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Ewaaa
  5. G

    JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Kukua ni akili yako hata ukiwa na miaka 40 ukavaa nguo za kuchanika utakua bado mvulana tuu sio mwanaume. Na watu watakushangaa.
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Si tatizo sana umri ila wengi 25..27 wanashida sana naprefer watu wazima au aliyewahi kuoa kabisa ila mgane.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Zama zinabadilika ndio maana hata wababa siku hizi wanafundishwa kuhusu hedhi.
  8. G

    JamiiForums Tanzania Special kwa wanawake wa JF: Ni kitu gani hupendi kutoka kwa mwanaume?

    Sifa za gentlemen zinaeleweka jamani.. hao wengine ni umri tuu wakikua wataacha kuvaa wanavovaa.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi (Mwanaume)

    Habari wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muungano Mimi ni mwanamke wa miaka 27, Sina mtoto ninaishi Dar es Salaam. Nahitaji mwanaume serious kwa ajili ya familia. Miaka awe na 30 na kuendelea mwisho 40. Awe christian.
Back
Top Bottom