Recent content by Gamahaaaa

  1. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani katika jukwaa hili anaweza kubadilisha maisha yako?

    Spiderman
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Playboy weds a good girl: inspired by true events

    Aisee ulivyo mtaja Dr Chuhila, imenibidi nicheke. Yule mwamba ni hatari sana, yaani Hana mchezo linapokuja suala la kitaaluma. Bila shaka wewe pia ni mwanafunzi wake, kwani, narrative imeshika haswa.
  3. G

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Arusha Mjini

    Tunaomba picha kiongozi.
  4. G

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano ya Ikulu ya Zanzibar, Charles Hillary afariki dunia

    Looh, kama alikuwa na weledi sana ktk kazi yake.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    'Hivi wewe Huogopi?'
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Kumekucha, elewa post kabla ya kujibu kiongozi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Kwenye dini ipo ndio hakuna fujo?
  8. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Sasa wewe, utaratibu wako wa maisha unaengemeza wapi? Labda nikuulize kama ni mwanaume umetahiriwa? Na kama ni ndio umepata wapi huo utaratibu? Kuna mengine mengi kama kuona, kuzikakana, majina tuliyo nayo n.k. yameegemea kwenye dini fulani. Ukisema huamini katika dini unakuwa unatudanganya.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Ku Kuna fahari nyingi sana ktk nyanja zote yaani:- Kisiasa, kiutamaduni, kiuchumi na kijamii.
  10. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Kwa Kwa hiyo, mchango wao kwenye Dunia upo au haupo?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wahhab kundi lenye itikadi kali ndani ya uislamu

    Nishati ya mafuta inatoka kwa mwarabu.
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

    Kumbe ndio maana DULA makabila anamkumbuka sana mke wa shomvi manara!
  13. G

    JamiiForums Tanzania Sijajua nini kimeshusha ushawishi wa Sugu? Amekuwa kama underground fulani hivi

    Kweli uchawi upo. Yaani nyota imezima kama mshumaa!
  14. G

    JamiiForums Tanzania Natabiri dunia lazima ivute pumzi muda mchache ujao ni kiama Iran

    Ni Mungu yupi anayefurahia viumbe vyake viuane bila sababu za msingi? Kataa akili mgando!!
Back
Top Bottom