Recent content by galavalo

  1. G

    CCM na Njaa kwa Watanzania.

    hatua madhubuti dhidi yao nikuwatoa madarakani na kuweka chama kingine especially pipooos! hahaha 2015 kitaeleweka.
  2. G

    CHADEMA mwisho wao 2015. Mmelewa sifa.

    wewe ndo mwisho wako 2015, so get prepared to be buried.
  3. G

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    labda jembe la kuchimbia mitishamba ya sangoma na masalia wake
  4. G

    Mtake msitake Zitto ni jembe

    labda jembe la kulimia dawa za kichawi kwa ajili yakunywesha masalia wenzie
  5. G

    Ben Saanane awatoa Mafichoni Zitto na wenzake

    kwanza anayemchagua na kumpa zitto uraisi nani? mwanga huyo anayelala kwa sangoma usiku na mchana mmh! kwahiyo na kujifanya kote anataka kugombea uraisi eti kisa sangoma kamuahidi ushindi?! lol kabwe! labda kama Mungu aliyeziumba mbingu na nchi hayupo utapata huo urais lakn km yupo basi ndoto...
  6. G

    Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Clous FM? ha! hao ni wazushi tu, kazi yao kusiliza umbea na kuurusha hewani and I dont think if they are professional na kama wanvyeti basi wamenunua hao. Clous FM woooooooh, jirekebisheni.
  7. G

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    CHADEMA ipo juu. hao wanaochafua chama na kutaka kitawanyike anakusiwe na umoja watatawanyika wao, na watashindwa wao sisi tunaojua kuwa CHADEMA Ni mkombozi wa watanzania tunazidi kusonga mbele na tutahakikisha hakuna kitakachozuia ushindi. Madamu masalia tushawajua na janja yenu tumeijua...
  8. G

    Ugaidi wa serikali ya Marekani.

    mmmmh!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom